BINTI anatafuta MCHUMBA

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
attachment.php

Jamani nani yupo tayari kuoa Binti huyu ?
 

Attachments

  • VICH-4.jpg
    VICH-4.jpg
    21.9 KB · Views: 1,040
Huyu atajioa mwenyewe, binti gani wa kuvunja mbavu za wanaume? Hana mvuto wa kuitwa Mrs.
 
Photoshop hiyo na haitakaa itokee duniani mwanamke kuwa hivi!
 
Nadhani huyu atanifaa sana mimi, maana wengine wote wanaogopa kifua changu. Hebu tizama picha yangu hapo juu uone kama hatu-match. Tukikorofishana hakuna wa kuweza kutuamulia.
 
Back
Top Bottom