Binti aliye seriouz

ze encyclopedia

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
316
180
nipo seriouz nahitaji mtu wa kusaidiana nae maisha mwenye vigezo vifuatavyo:-
  • age: 22 to 27
  • education: at least form 4 with valid credits
  • body type : slim and moderate tall
  • religion: christian of any dominion OR Islam aliye tayari ku change
  • tribe: any Tanzanian tribe is warmly welcome
  • healthy: awe tayari kupima vyoote kabla ya ndoa
  • awe muwazi sana ktk maisha kwa ujumla
  • ajiheshimu na asiwe wa kukumbuka ya zamani kwani sitojali ashatembea na wangapi
  • asiwe na tamaa ya maisha na awe mvumulivu halisia....
kwa alie serious tuu.. tafadhali ani pm. kwa mawasiliano zaidi
 
Hi! Mi ndo nmemaliza kdto cha IV n matokeo yng n haya! Civ-C,hist-A,kisw&geo-D,bio-D,eng-C:
ninaumr wa miaka 22 wth medium size neither short,tall,fat nor thin! Am moslem by religion so if u're ready contact me via 0759947397! Bt am ready 2b wth u ladie! Nimemalza mwka jana.
 
mwenzio anatafuta msichana sio bwana.

qwi qwi qwiii.. naona ulidhani umepata chips funga, ukaweka hadi nmbr but sio mbaya atakutafta 2 mayb stil u can mk bznes...
 
Yani humu JF mashallah kwa wachumba 2 Kama ingekua kazi basi ningefanya mpaka nikajenga nyumba yakorofa...lakini ndio hasara....
 
Mbona hata wewe muonekano wa picha uliyo chagua unaonekana utulivu F. Vijana kazi kwenu Mshakaji anataka jiko mpeni ushirikiano.
 
qwi qwi qwiii.. naona ulidhani umepata chips funga, ukaweka hadi nmbr but sio mbaya atakutafta 2 mayb stil u can mk bznes...

Shut up junior,unacheka nini sasa! Mm nlidhan kinu kinatafuta mchi so lough'n coz i was serious! Nakuomba ukimpata demu anayetaka bwana tushtuane kaka nataka kuoa!
 
ata ucjali wapo wengi humu, jst wait kuna mmja anaitwa jane_000 atakuja soon huyo ata huangaiki.!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom