Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 93
usintake ncheke mie!
lol. huko hakuna mgao wa umeme, hivi hujui? hamna cha Dowans wala babaake IPTL.
usintake ncheke mie!
lol. huko hakuna mgao wa umeme, hivi hujui? hamna cha Dowans wala babaake IPTL.
Wachawi bwana,sasa kama wanauwezo wa kulimisha watu kimtindo huo kwanini wasiombe milki ya mashamba makubwa wawalimishe hao mafisadi ili hii nchi njaa ibaki historia tuu?