Bingwa wa kupinga...

Weka vitu hadhalani tutazoea tu. Siyo Zeruzeru aitwe Albino (english), Kipofu-asiye ona! Kiziwi-Asiyesikia, **Mwizi-kibaka**, Mwogo-asiyesema kweli! Malaya-anayejiuza! Sema tu wazi tutasikia ukakasi lakini tutazoea kama wazungu.

Mwizi wa mdogo mdogo/mtaani ndo anaitwa kibaka lkn wale wizi wa kubwa wa serekalini wanaitwa mafisadi, haipendezi.
Anko Sam, lengo si kuzoea ukakasi wa maneno haya, ila ni kujuwa wakati/walengwa/mazingira ya kuyatumia maneno hayo. Tukisema tuyatumiye haya yaliyo na ukakasi tu, haya mengine tutayatumia wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom