Bingu Mutharika afariki rasmi

Nawapa pole watu wa Malawi, natumai Mungu atawapa Kiongozi mwingine. Huyu amekamilisha muhula wake kwa ratiba ya Mungu. Na hii kila aliyena pumzi alijue hili na kutenda haki hakuna atakayedumu Milele. Viongozi wa CCM na serikali yenu:A S-fire1: Mnaojifanya Miungu watu kiasi cha kupindisha haki kwa kufuru jua ipo siku mtatoka. Niwe hai nisiwe hai wapo wataoshuhudia anguko lenu. Kama si kwa kuaguka katika uchaguzi basi kwa KUFA.
 
Jamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanii acheni kujitafutia laaaanaaa toka kwa mungu kwa kuwaombea watu vifo, mtatubu wapi.
Usihukumu kabla ya kuhukumiwa.
 
Kama umepata kusikia habari ya ECONOMIC PARTNERSHIP AGREEMENT(EPA)ambao marehem huyu aliukataa vikali bila shaka wengi wetu tungesikitika sana juu ya kifo hiki
 
Jamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanii acheni kujitafutia laaaanaaa toka kwa mungu kwa kuwaombea watu vifo, mtatubu wapi.
Usihukumu kabla ya kuhukumiwa.

na wakati huohuo huoni kama ni laana kwa watu kuhukumu watu wawekwe pema peponi!
Binadamu bana,tunapenda kujifariji?
 
Utabiri wa TB JOSHUA WATAMIA ALISEMA BAADA YA MIEZI MIWILI KUNA RAIS ATAKUFA

Siku zote sisi wanadamu huwa hatuamini Unabii,mpaka tuone kwa macho,sasa yametimia na unbii wa TB.Joshua umethibitika, Bado wa juu ya Tanzania,wa kumwagika damu nyingi.
 
Poleni sana Wananchi wa Malawi. Sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea! Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe/Lihimidiwe! Wandugu tutimize wajibu wetu tukiwa hai kwani tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Hivyo tusijisahau na kuwanyanyasa wenzetu. Tupendane, tuthaminiane, tuheshimiane, tushirikiane na tudumishe upendo wa kindugu baina yetu kwani sote tu wasafiri ila tunavituo tofauti (ie muda wa kifo).
 
sipati picha hii bahati ya kufiwa na raisi ingetokea bongo...... RIP Bingu, funzo kwa maraisi wanaodhani wataishi milele.
 
Back
Top Bottom