Bingo!

Anfaal

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
1,154
113
Leo nimekumbuka ule mchezo wa Jackpot Bingo uliokuwa unaendeshwa na ITV. Mchezo ule ulimnufaisha saana bwana Mengi kutokana na ugeni wake na uelewa wa wachezaji! Katika hali ya kawaida, hivi nani tena anaweza kuaminiwa na Watanzania maana kila mtu akipata upenyo anawaza kukwepa kodi na kuwaibia Watanzania!
 
Bingoooooo! watu wali scratch zile card m[paka washtuke wanaibiwa jamaa trilionea tayari. Yule anajiita TK sijui alikuwa kati ya wale wadada wa BINGO! siku hizi eti super star! kisa kaolewa na mzungu
 
Bingoooooo! watu wali scratch zile card m[paka washtuke wanaibiwa jamaa trilionea tayari. Yule anajiita TK sijui alikuwa kati ya wale wadada wa BINGO! siku hizi eti super star! kisa kaolewa na mzungu
Kwanini huwa tunakurupukia vitu hivi? Hivi zile tiketi zilikuwa kiasi gani? Yupo hata mmoja hapa aliyewahi kupata hata senti tano?
 
Back
Top Bottom