Binam nyama ya ham!

Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.

kama ni mimi namega tu haina noma wala nini isipokuwa mega kwa tahadhari ya magonjwa na mimba hivyo tu mia kondomu siku mkikuwa mkagundua ni mbaya mtaacha wenyewe maana ukiacha kwasasa utakuwa unajijutia maisha kila siku hoo ningejua wee kula na jitahidi ukishakula ukae naye mbali maana mkikiwa mnakaa nyumba moja au karibu mtajikuta mnakulana kila siku na siku moja mtamalizana
 
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.
Acha uzinzi kijana,binamu ni nyama haramu!!
 
Utajiju..
Tena kwa taarifa yako penzi ni kikohozi kulificha huliwezi.
Binamu nyama ya hamu...haikubaliki kabisa kwa mila za kiafrika.
Mambo hayo ya mabinanu yapo sana arabuni ambapo ndugu huwa wanaona.
Afrika mila za namna hiyo tulikuwa nazo miaka mingi sana ya nyuma,
lakini baada ya kugundua hasara za kuoana wana ndugu tukazitupilia mbali kwani madhara yake yalikuwa ni makubwa sana ikiwemo kuzaa watoto wenye mtindio wa ubingo na taahira ya akili, magonjwa ya kurithi , kinga dhaifu ya mwili na mengineyo mengi.
Nakushauri usijaribu kumnjunji binamu.
Asante,hayo ndiyo yanayotakiwa kutoka kinywani mwa great thinkers,na si ku entertain ujinga!!
 
Tuzungumzie kuoa zaidi ya kumega.
Mwanzo wa mapenzi mtamu kama chungwa,katikati ya penzi chachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni mchungu kuliko shubiri !!

Ikumbukwe kwamba hawa (binamu) ni watoto wa dada na wa kaka (same blood). Katika maisha ya kawaida na pale ambapo mambo yanaenda vizuri. Tatizo litakuja pale ambapo uhusiano unavunjika ki mapenzi mambo haya yatahusisha wazazi na kwa kawaida kila mzazi ata side kwa mtoto wake, na hii inaweza kuvunja ukoo.

Hivyo ni kitu cha kuepukwa kwa kufikiria mwisho wa uhusiano.
 
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy admire the staff.

Kwa kabila la wahangaza kutoka Ngara (mkoani Kagera) ni ruksa kumuoa binamu. Hapa naona unaongelea kutamaniana na siyo ndoa. Kwa hiyo kama ni uzinzi tu, ni jukumu lenu kuona ni jinsi gani mnaweza (wote wawili) kutawala tamaa zenu. Lakini kama ni kuoana, basi angalia kama kabila lenu linaruhusu kuvunja mila. Kabila langu linaruhusu kuvunja baadhi ya mila kama mambo ya aibu yametokea. Kwa mfano, ndugu wa karibu (binamu au wapwa) wakipeana mimba.Kama kabila haliruhusu basi jaribu kujizuia. Ule kwa macho tu na utafute visivyo haramu.
 
isije ikawa huyo binamuyo anakuona wewe ndio nyama ya hamu.
inawezekana anakufanya wewe parking space tu.
 
Inategemea na mila/tamaduni za kabila lenu. Kuna baadhi ya tamaduni binamu wanaoana. Kwani anakusumbua kivipi?

Kwa mila zetu, binamu wala hutuombi ni nguvu zako hata kama mama na baba yake wako sebuleni atapiga kelele weeeee watasema hao ni mtu na binamu yake achana nao
 
Mpwa mbona bado mapema.......:rolleyes:
Kaka huu ndio wakati wenyewe, si unajua safari za kwenda vijijini kusherehekea na ndugu unaweza kummis mtu hivi hivi.

Mfano yuko wapi FL1 siku hizi? Kashaenda Tandahimba huyo hadi January tena
 
Mkuu S.FM
unakuja jukwaani kuomba ruhusa ya kufungua zipu???
hebu nitumie ktk pm namba ya binamu wako nimpe ushauri nasaha.
 
Msanii leo vipi kaka? LOL!!! Au machweo yamekaribia?
ah mkuu
unajua kuna wakati mtu anaomba ushauri kwa kitu ambacho anaweza kuamua.
ila kama huyo binam anapenda sana mimego basi amlete sandakalawe tujihakikishie kabla ya kumshauri. lol
 
Kaka huu ndio wakati wenyewe, si unajua safari za kwenda vijijini kusherehekea na ndugu unaweza kummis mtu hivi hivi.

Mfano yuko wapi FL1 siku hizi? Kashaenda Tandahimba huyo hadi January tena

hehehe, FL1 nadhani yupo kama guest kwenye hii thread!
 
Back
Top Bottom