Binafsi Namkubali Sana Rostam Aziz na sina chuki naye!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Kila siku ukiangalia mada zinazorushwa hapa JF dhidi ya Rostam Aziz zinalenga zaidi kwenye chuki. Imepelekea hadi baadhi ya watu kusahau kwamba huyu jamaa ni mwanadamu kama tulivyo sisi. Wengi wametoa proposal ya kumuua wakidhani ndo suluhu ya ufisadi hapa nchini, na wengine wamediriki kumu-associate na scandals ambazo hata hakuna proof kwamba ni jinsi gani huyu jamaa alivyo facilitate.

Binafsi naona watanzania badala ya kutibu maradhi kwa kutambua ile root cause tunakimbilia kutibu dalili (symptoms). Hivi hujawahi kujiuliza maswali kwamba endapo ikitokea leo hii tunapata taarifa zenye kuthibitishwa ya kwamba Rostam Aziz na washirika wake wameuwawa, Je, ndo itakuwa mwisho wa ufisadi hapa nchini??? La hasha nachelea kusema ndo itakuwa mwisho wa ufisadi hapa nchini. Hiyo itakuwa ni temporary relief na Akina Rostamu wengine wengi tu wataibuka endapo tutaendelea kubakia na mfumo dhaifu wa kiutendaji.

Binafsi ninamkubali sana huyu jamaa msomi naesikia ni graduate wa havard university na ambaye baadhi ya watanzania wanadai sio raia. Endapo itakuja kudhibitika ya kwamba the guy was behind EPA, Kagoda, Meremeta, Richmond, Dowans etc nitazidi kuwa inspired na huyu jamaa. Na mpaka sasa ninamuona huyu jamaa ni zaidi ya ma-professor wangu walionifundisha kule university, ni zaidi ya madaktari, ma-engineer,lawyers ...na ni zaidi ya wataalamu wote kwenye sector yeyote uijuayo hapa Tanzania.

The other way around ni kwamba sisi watanzania ndo tunaojiroga, haiwezekani tunaendelea kupalilia na kuumwagilia maji mfumo ambao tunaujua ni wa kishenzi kwa miaka yote huku tukiishia kusemasema pembeni bila kuchukua hatua.
Kwangu mimi Katiba ndo suluhu wa yote.
 
Naomba unielimishe jinsi gani katiba mpya inatatua tatizo la rushwa nchini?
 
Kila siku ukiangalia mada zinazorushwa hapa JF dhidi ya Rostam Aziz zinalenga zaidi kwenye chuki. Imepelekea hadi baadhi ya watu kusahau kwamba huyu jamaa ni mwanadamu kama tulivyo sisi. Wengi wametoa proposal ya kumuua wakidhani ndo suluhu ya ufisadi hapa nchini, na wengine wamediriki kumu-associate na scandals ambazo hata hakuna proof kwamba ni jinsi gani huyu jamaa alivyo facilitate.

Binafsi naona watanzania badala ya kutibu maradhi kwa kutambua ile root cause tunakimbilia kutibu dalili (sysmptoms). Hivi hujawahi kujiuliza maswali kwamba endapo ikitokea leo hii tunapata taarifa zenye kuthibitishwa ya kwamba Rostam Aziz na washirika wake wameuwawa, Je, ndo itakuwa mwisho wa ufisadi hapa nchini??? La hasha nachelea kusema ndo itakuwa mwisho wa ufisadi hapa nchini. Hiyo itakuwa ni temporary relief na Akina Rostamu wengine wengi tu wataibuka endapo tutaendelea kubakia na mfumo dhaifu wa kiutendaji.

Kumbe ni TETESI yaani hata wewe mwenyewe huna uhakika kama unamkubali au Haumkubali
 
Ulaaniwe na wewe, ikibidi ulogwe!!
 
Naomba unielimishe jinsi gani katiba mpya inatatua tatizo la rushwa nchini?

well drafted Katiba mpya itashinikiza restructuring ya nafasi mbalimbali za viongozi wetu ngazi za juu ikiweno nafasi ya
rais, hii itakwenda sambamba na dilution ya power walizonazo viongozi wetu. Pia ita-narrate uhuru wa kuhoji baadhi ya mambo. Vile vile ile mihimili mitatu ya nchi itarudishiwa nguvu zake stahiki
 
Kumbe ni TETESI yaani hata wewe mwenyewe huna uhakika kama unamkubali au Haumkubali

si tetesi na ninajua hiki ni kitu kisichopendwa kusikilizwa na wana JF wengi lakini ukweli utabaki palepale.
 
proper Katiba mpya itashinikiza restructuring ya nafasi mbalimbali za viongozi wetu ngazi za juu ikiweno nafasi ya rais, hii itakwenda sambamba na dilution ya power walizonazo viongozi wetu. Pia ita-narrete uhuru wa kuhoji baadhi ya mambo. Vile vile ile mihimili mitatu ya nchi itarudishiwa nguvu zake stahiki i.e. mahakama, bunge, baraza la mawaziri

What type of University did you go chum?.....
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema mlango ukisahaulika kufungwa hata kama ilikuwa makusudi na zaidi ya mara moja, jambazi likakomba kila kitu tena zaidi ya mara moja you will end up being inspired by that jambazi????????????

No wonder why gongo haipandi bei!
 
............The other way around ni kwamba sisi watanzania ndo tunaojiroga, haiwezekani tunaendelea kupalilia na kuumwagilia maji mfumo ambao tunaujua ni wa kishenzi kwa miaka yote huku tukiishia kusemasema pembeni bila kuchukua hatua...................

Nakubaliana na wewe hapo penye nyekundu.

Tunamuonea RA bure wakati sisi ndio tunaowabeba vibaraka wake kwa kuendelea kuwaweka pale Magogoni!
 
Simkubali hata kidogo..., If really angekuwa genious angefanya kama kina Bill Gates, Rockefellar, Richard Branson to name just a few...,

Jamaa ametumia greedy ya viongozi wetu ili kuweza kula nao sahani moja jasho letu, hii sio mtu kuwa clever but its just daylight robbery.

Morally his wealthy inasaidia wangapi...? angalau angeiba akashusha viwanda nchini vya kuleta ajira basi ningemuona wa maana

UKWELI NI KWAMBA HE IS PART OF THE PROBLEM YEYE PAMOJA NA HAO WENZIE WOTE (VIONGOZI WETU)
 
Umeandika vizuri sana hongera kwa hilo na ili mwana JF aelewe inabidi asome maana ya ulichokieleza sio nini kinachoelezwa, tatizo ni mfumo wetu wa utawala!!! Najua wengi watakupinga kwa jinsi ulivyoi-present mada.... sasa ongeza juhudi ili watu waelewe tunakotakiwa ku-focus ili kutibu tatizo lililopo na kuzuia lisijirudie tena......
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema mlango ukisahaulika kufungwa hata kama ilikuwa makusudi na zaidi ya mara moja, jambazi likakomba kila kitu tena zaidi ya mara moja you will end up being inspired by that jambazi????????????

No wonder why gongo haipandi bei!

Hapo kwenye nyekundu ndo panapotakiwa kufanyia kazi! kwa nini mlango ulisahaulika kufungwa???? na Huyo jambazi alijuaje mlango uko wazi??? hawezi kuota tu kwmba mlango uko wazi!
 
Yeah nakubaliana na wewe lakini sikubaliani na hili la kumkumbali jambazi! Two different issues!
 
Nakubaliana na wewe hapo penye nyekundu.

Tunamuonea RA bure wakati sisi ndio tunaowabeba vibaraka wake kwa kuendelea kuwaweka pale Magogoni!

Mkuu nashukuru kama umepata point yangu! tutalalama hadi kufikia pahala tunapoteza focus........tunapambana na adui tusiemjua! imagine Rostam Aziz amekufa leo!!! akiibuka mwingine nae tutaendelea kumshambulia??? Kumbuka Usipoziba ufa......
 
Back
Top Bottom