Binadamu wenye tabia na maumbile ya ajabu zaidi duniani.

Mkali Tozz

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
278
80
Maana wamekuwa wakinichanganya kutokana na category na sifa zao kibaoloji kama ifuatavyo
( i) kunawengine wana matiti na uume tuu, hawana uke.
(ii) kuna wengine wana uume na uke na matiti kwa pamoja.
(iii) kuna wengine wana uke na matiti ila hawana haiba ya kike kabisa, hawana feelings za kuingiliwa.(jikedume)
(iv)kuna wanawake ila wana ndevu, mustachi, misuli, sauti nzito na wanapenda kamapania za wanaume
(v)kuna wanaume ila wana sauti nyembamba, ****** makubwa na matiti makubwa na wanapenda kampani za wanawake.

Ningependa kufahamu maisha yao, asili yao , uwezo wao wa tendo la ndoa na behaviour zao kwenye mahusiano, Je wanauwezo wa kumpa/kupewa mimba? Nguvu zao kimaumbile (reproductive organs) zinafanya kazi kama kawaida?

Ningeomba msaada wa mchanganuo wa viumbe hawa na mahusiano ya kwenye mambo ya LOVE & SEX
 
Back
Top Bottom