Binadamu wa kwanza ni yupi? Wa Olduvai au Adam

Status
Not open for further replies.
Hata mi naona hako ni kamsumali bana atarukaruka tu. Eti wanadai ndege wameevolve toka kwa baadhi ya dinosaurs lakini hawaelezi kwanini kuna tofauti nyingi mno ya hawa ndege je kila aina ilikuwa na dinasaur wake je ni yupi Anchiceratops, Alxasaurus au aina nyingine?

Soma post # 78 halafu uijibu point by point. Mimi nimesoma kidogo mawazo tofauti kuhusu mwanzo wa maisha, nimesoma biblia na sayansi. Kwa hiyo naweza kui dismantle biblia point by point.Ningependa na wewe unavyokuja kuzisambartisha points zangu uje point by point.

Umesoma evolution? Unaelewa nini namaanisha kwa kusema "geological scale of time"? Unafahamu historia ya penicillin? Unafahamu natural selection ni nini? Unafahamu "survival of the fittest" ni nini? Unafahamu antibiotic resistance kutoka kwa bacteria ni nini? Inasababishwa na nini?

Sio kudandia mjadala na kutoa shutuma za jumla jumla.Nimebreak down issues hapo juu kwenye post # 78, hebu chngia point by point ku refute science hiyo, siyo kufuata mkumbo kama unasalishwa sala ya kiarabu au kilatini usichokijua.
 
Nina 100% uhakika kuwa hayo maneno niliyosoma hapo yanasomeka "Nothing is ever 100%. Unless watu wanataka kucheza ligi ya kombe la mbuzi" au nimekosea?

Kwanza 100% ni nini? Pili, nionyeshe uhakika wako uko wapi? Nataka step by step, stage by stage indisputable explanation ya uhakika wako wa 100% juu ya ulichokisoma kwenye bandiko langu....
 
Kwanza 100% ni nini? Pili, nionyeshe uhakika wako uko wapi?

Kwanza English Majors watamwambia alichoandika ni tofauti na ulichoandika wewe, yeye kaweka quotations marks wakati wewe ulikuwa hujaweka.

Computer Science na Information Technology Majors watamwambia pixelations haziwezi kumatch 100%

Education Majors watamwambia hawezi kuwa na hakika na vipi kitu kitasomeka kwa sababu wengine hawajui kusoma, wengine wana dislexia. Na hawezi kuwa na uhakika kwamba anachofikiri amesoma ndicho kilichoandikwa.

Philosophy majors wanaweza kumwambia ame dream the whole thing, hakuna yeyote aliyeandika chochote.

Psychology major wanaweza kumwambia hamna sentensi moja inayosomeka vile vile exactly kwa watu wawili.

Na Einsten kamalizia kwenye quote yangu hapo chini.

As far as the laws of mathematics refer to reality,they are not certain, as far as they are certain,they do not refer to reality-Einstein

100% being a mathematical construct representing certainty is doubly referred to here.
 
Education Majors watamwambia hawezi kuwa na hakika na vipi kitu kitasomeka kwa sababu wengine hawajui kusoma, wengine wana dislexia.

Philosophy majors wanaweza kumwambia ame dream the whole thing, hkuna yeyote aliyeandika chochote.

Psychology major wanaweza kumwambia hamna sentensi moja inayosomeka vile vile exactly kwa watu wawili.

Na Einsten kamalizia kwenye quote yangu hapo chini.

As far as the laws of mathematics refer to reality,they are not certain, as far as they are certain,they do not refer to reality-Einstein

100% being a mathematical construct representing certainty is doubly referred to here.

Mwambie huyo......watu wanapenda ku throw around 100% kama vile imekuwa frisbee. Ukiwauliza 100% ni nini hawana jibu...
 
Inategemeana na 100% kwako wewe unaichukulia vipi na perception yako ikoje kwani unaweza ukatumi 1000% lakini wewe ukimaanisha ni 100% ambayo kihesabu inakubalika kwangu 100% inamaanisha perfect au kitu kizima hence nivokopi sentensi yako it a duplicate ya ulichokishusha au unataka kupindisha na hapo?
 
Kwanza English Majors watamwambia alichoandika ni tofauti na ulichoandika wewe, yeye kaweka quotations marks wakati wewe ulikuwa hujaweka.

Computer Science na Information Technology Majors watamwambia pixelations haziwezi kumatch 100%

Education Majors watamwambia hawezi kuwa na hakika na vipi kitu kitasomeka kwa sababu wengine hawajui kusoma, wengine wana dislexia. Na hawezi kuwa na uhakika kwamba anachofikiri amesoma ndicho kilichoandikwa.

Philosophy majors wanaweza kumwambia ame dream the whole thing, hakuna yeyote aliyeandika chochote.

Psychology major wanaweza kumwambia hamna sentensi moja inayosomeka vile vile exactly kwa watu wawili.

Na Einsten kamalizia kwenye quote yangu hapo chini.

As far as the laws of mathematics refer to reality,they are not certain, as far as they are certain,they do not refer to reality-Einstein

100% being a mathematical construct representing certainty is doubly referred to here.

Kwa hiyo unawaamini English majors hence huwezi kuargue nao think out of te box and be independent in mind na je hao english majors wakikueleza nini maana ya quotation na zinavotumika utawaamini au utaargue nao? Tuendelee na topic
 
Kwanza 100% yako iko accurate to how many decimal places? How many significant figures? Do you even know the difference?

Halafu vipi kuhusu majibu yangu uliyosema siwezi kuyatoa, yaliyo kwenye post # 78 ?

Wewe una "think out of the box" wakati watu tusha escape the box outside the box outside the box, all the way to the multiverse, tunapicture the multiverse na beyond spacetime huko tuna argue na ma M-Theory to a time before time and a place beyond space, dealing with the infinitesimals of the singularity.Wewe unataka kuleta mediocrity ya 100%.Sheesh.

Is your idea of thinking outside the box not understanding evolution?

U gotta be kidding me.
 
Kwanza 100% yako iko accurate to how many decimal places? How many significant figures?

Halafu vipi kuhusu majibu yangu uliyosema siwezi kuyatoa, yaliyo kwenye post # 78 ?

Wewe una "think out of the box" akati watu tusha escape the box outside the box outside the box, all the way to the multiverse, tunapicture the multiverse na beyond spacetime huko.

Is your idea of thinking outside the box not understanding evolution?

U gotta be kidding me.

Kwani hapo umeona kuna decimala points? Au unakopi tu dogma za wasomi ankal? Have your own stand just use them as reference lakini sio utumie reference kuprove kuwa ni kweli hivyo ni vitu viwili tofauti kwani unatakiwa kuargue na wtu unaowrefer pia. Halafu ndo maana nipo ktk mjadala huu hii yote ni kuthink out of the box na kuruhusu challenges
 
Inategemeana na 100% kwako wewe unaichukulia vipi na perception yako ikoje kwani unaweza ukatumi 1000% lakini wewe ukimaanisha ni 100% ambayo kihesabu inakubalika kwangu 100% inamaanisha perfect au kitu kizima hence nivokopi sentensi yako it a duplicate ya ulichokishusha au unataka kupindisha na hapo?

Lol...sasa copy itakuwaje perfect? Na unajuaje ulicho copy ni perfect?
 
Kwani hapo umeona kuna decimala points? Au unakopi tu dogma za wasomi ankal? Have your own stand just use them as reference lakini sio utumie reference kuprove kuwa ni kweli hivyo ni vitu viwili tofauti kwani unatakiwa kuargue na wtu unaowrefer pia. Halafu ndo maana nipo ktk mjadala huu hii yote ni kuthink out of the box na kuruhusu challenges

For a moment, when I wrote "do you even understand the difference" just for a split second, I thought I was being a bit condescending.

Now you are proving that I wasn't. You do not understand the relevancy of decimal places and significant figures in this instance.The naivette carried by your question exposes you as such.

Huelewi kabisa concet nzima ya accuracy kimahesabu ni nini, halafu unataka kusema unajua kitu 100%.

I mean tayari unashangaa ninavyokuuliza 100% yako ina accuracy y decimal places ngapi au significant figures ngapi.Siwezi kushangaa nikisikia zaidi ya robo tatu ya wanafunzi wanapata division 4 na 0. I mean look at these questions, look at this person asking about the legitimacy of asking for decimal places in a thread about accuracy.

Look at these medieval people questiong science with medieval skepticism. I mean as a follower of science I believ in skepticism, science is founded on skepticism, I encourage skepticism.

Lakini kuna skepticism fulani ni medievaal jamani, wenzetu wamezipita 500 years ago. Ukibishia evolution generally kwangu mimi huna tofauti na mtu anayebisha kwamba the world is not round.Mimi nawaweka mtu anayeamini in the Judeo-Christian god, anayeamini the world is flat, anayeamini "binadamu" kaumbwa na mungu, anayeamini uchawi, anayeamini jua linazunguka dunia, wote kundi lao moja tu - medieval world, wako uni ya leo by accident tu, lakini walitakiwa kuzaliwa miaaka 500 iliyopita. Tena hata watu wa miaka 500 iliyopita walikuwa na afadhali, kwa sababu hawakuwa na science tuliyo nayo sasa, hawakuwa na Copernicus, hawakuwa na Galileo, hawakuwa na Newton, hawakuwa na Einstein.Kwa hiyo ninaweza kuwa cut some slack.

Lakini nyinyi watu mlio katika internet halafu mpaka leo mnaamini mungu kaumba dunia, hamuelewi bacteria wanavyodevelop na natural selection kuongeza resistance kwa antibiotics kama a feature of evolution, nyinyi watu mna excuse gani nyinyi? Mnajua kusoma obviously, mtandao mnao obviously, tatizo ni nini?

Uzembe? tradition? Feel good psychology iliyowakaa toka mnanyoya maziwa ya mama zenu?

Sielewi!

They say "God don't like ugly" and his is ugly, therefore god doesn't exist.
 
Lol...you copied the perfect? What the hell is that supposed to mean?

Anafahamu Information Theory inachosema kuhusu ku copy? Ashasikia kitu kinaitwa "Shannon entropy"? ashasikia chochote kuhusu the seminal paper "A Mathematical Theory of Communication".?

Watu wengine bwana!
 
Mboni kazi mwaka huu! hivi bado watu wanaamini tu kuhusu huu uongo wa Natural selection?
 
Anafahamu Information Theory inachosema kuhusu ku copy? Ashasikia kitu kinitwa "Shannon entropy"? ashasikia chochote kuhusu the seminal paper "A Mathematical Theory of Communication".?

Watu wengine bwana!

Unaju maana ya theory, nachelea kugeuza hii thread kuwa mjadala kati yenu na mimi ninayefikiri using several knowledge lakini I come up with my own understanding and argumenta nachelea sana copy vya wengine na kuvipaste. Can you test that theory? Unapokuwa mfuasi wa idea ya mtu sio upokee kila kitu bali na wewe pia sio unasoma 2+2=4 uliza ni kwanini nne sasa naona kama unaleta theories untested
 
Mboni kazi mwaka huu! hivi bado watu wanaamini tu kuhusu huu uongo wa Natural selection?

It works, but not 100%. Ingekuwa ina work 100% dummies kama nyie msingekuwepo duniani usawa huu.

You are the proof of that. Soma juu, uliza maswali, challenge.Sio unakuja na blank statement.

Kama unashindwa kufuatilia mjadala point by point unaweza kuanzia na post # 78 ambayo wote hamjaweza kuijibu mpaka dakika hii.
 
I'm lost....dude is not making any sense.

Don't be lost lad, just stick on the topic of the thread please if you don't mind. If you have seducing mind please use it there and others can see and contribute, its not personal confrontation
 
It works, but not 100%. Ingekuwa ina work 100% dummies kama nyie msingekuwepo duniani usawa huu.

You are the proof of that. Soma juu, uliza maswali, challenge.Sio unakuja na blank statement.

Kama unashindwa kufuatilia mjadala point by point unaweza kuanzia na post # 78 ambayo wote hamjaweza kuijibu mpaka dakika hii.
Nimekuuliza swali mpaka sasa unajifanya ulioni eti dummies...lol! wacha jazba jibu kisomi... eti natural selection.
 
Unaju maana ya theory, nachelea kugeuza hii thread kuwa mjadala kati yenu na mimi ninayefikiri using several knowledge lakini I come up with my own understanding and argumenta nachelea sana copy vya wengine na kuvipaste. Can you test that theory? Unapokuwa mfuasi wa idea ya mtu sio upokee kila kitu bali na wewe pia sio unasoma 2+2=4 uliza ni kwanini nne sasa naona kama unaleta theories untested

Mkuu RayB, lakini hicho si ndicho anachokuambia yeye...? Ya kwamba waumini wa dini wanakubaliana na mafundisho ya imani zao, kwa swala na script mbalimbali. Lakini kama unavyotaka tu kusema hapa, ukiulizwa maswali ya one-to-one kuhusiana na yote yale unayoamini, pahala pengi utakwama. Ni sawa na wanasayansi wanaposhindwa kujibu baadhi ya mambo wanakupatia percentage accuracy ya hicho ulichouliza au wanachotafiti. Kama ni asilimia 45 watasema hivyo na wataonesha proof zao, kama ni asilimia 99.5 pia watasema hivyo. Lakini leo hii nikikuuliza wewe ni kwa asilimia ngapi binadamu wa kwanza ndiye alikuwa Adamu... ni vigumu kuleta proof ya kiuelewo wa kibinadamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom