Binadamu na ufisadi

Zabron Erasto

Member
May 29, 2011
47
3
Binadamu kwa matendo na hulka yake ya uovu hupenda kufanya matendo ya kifisadi dhidi ya binadamu wengine, lakini ukweli ni kwamba haiwezekani akaishi muda mrefu kuweza kuyafaidi vyema matunda ya ufisadi wake. Je! wewe unasimama na wazo lipi?
 
Kwa asili mwanadamu ni kiumbe anayependa kumiliki na kujilimbikizia kupita kiasi, hofu ya Mungu na pengine sheria za nchi ndio vinaweza kumtia hofu. Sasa kwa maoni yako kuwa ataishi muda gani afaidi matunda yake nadhani ni vigumu kuhusisha na hali hiyo kwa kuwa hakuna mahali panaponyesha mwisho wa binadamu huyo kuishi ni lini.
 
Back
Top Bottom