binadamu na mitindo ya ulalaji

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
1:chali na nguo/bila nguo
2:kifudi fudi na nguo/bila nguo
3:ubavu ubavu na nguo/bila nguo
mimi nipo ktk namba 1 lakin bila nguo na haijalishi ni msimu wa joto au baridi-mwendo ni chali chali tuu bila nguo.pajama,boxer,kufuli.kaptula natupa kule.
haya wewe upo ktk namba gani-tufafanulie:focus: fofo.jpg
 
namba 3: ubavu ubavu bila nguo, haijalishi ni msimu gani, iwe ni wa joto au baridi ni bila bila
 
Cjawahi jichunguza nikiwa nimelala 7bu nakua nimeishia ushngizini
 
Back
Top Bottom