Binadamu maskini kuliko wote hayupo Tanzania wala Africa

Dah.. Kweli ulaya ulaya tu.. Maskini yuko soap soap hivi.. Ana suti kali, simu na mazagazaga kibao.

Deni ni jambo la kawaida na wala deni si kigezo cha umaskini, kuna watu wanadaiwa m 200 lakn ana mjengo wake, anakula na familia yake, watoto xcul wanenda, sasa utasemaje huyo ni maskni kisa anadaiwa.. Sio maskini huyo bhana, msituektie maisha
kwa mfano huo mkuu basi chukua kile anachomiliki toa anachodaiwa,anachobaki nacho ndio net wealth yake
 
wakuu naona hamtaki kunielewa kabisa lakini kitaeleweka tu. kama jamaa unasema yuko soap soap ana simu etc, chukua anavyomiliki utoe anachodaiwa, jibu utakalopata hyo ndiyo net wealth ya huyo jamaa.hata bill gate utajiri wake unapimwa kwa net wealth means wametoa madeni yote nduyo wanabaki na kiasi halisi alichi nacho
hata yule omba omba wa barabarani net wealth yake ni kubwa kuliko ya huyo jamaa jerome.are we together wakuu?
 
ana
pengine ukiulizwa binadamu maskini kuliko wote duniani,moja kwa moja ungevuta picha ya omba omba wa barabarani pengine au maskini walioko vijijini n.k
lakini ukweli ni kwamba hao si maskini kuliko wote duniani. rejea hesabu za hasi na chanya. je kati mwenye 0 na mwenye -10 nani mwenye nyingi?
JEROME KERVIEL (37 )raia wa UFARANSA ndio amethibitika kuwa ndiye binadamu maskini zaidi kwani ana deni la EURO 4.9 BILIONI(TRILIONI ZAIDI YA 10). Deni hilo ni kutokana na hasara aliyoisababishia BENKI ya SOCIETE GENERALE alipoajiriwa kama BANKER ya huko Ufaransa katika mambo ya bet.hivyo mahakama ikamuamuru alipe hasara hiyo.
alitoroka na kuingia italia ambapo baadae alijisalimisha baada ya kuzungumza na raisi HOLLANDE wa ufaransa. alihukumiwa miaka mitatu jela lakini aliachiwa baada ya miezi mi5
View attachment 388020 View attachment 388021 View attachment 388022[/QU
ana nauli ya kutoka ufaransa hadi itali na pesa za kula na malaza,mwisho ana simu na ana hela ya kuweka vocha ampigie raisi!duh kweli maskini wapo!!!huyu atakuwa ni maskini wa mwisho kweli maana nadhan maskin wa kwanxz ndio balaa
 
Umasikini huendana na kipimo cha ujinga
hehehe unaweka ukaueleza umma kuhusu matajiri kibao ambao hawakusoma? manake umejikita katika kudhani kuwa aliesoma ndio tajiri. huyo ni tajiri wa maarifa tu.
 
Mi nadhan kipimo cha umaskini ni kiwango cha kipato cha m2 kwa siku, status ya nyumba anayoishi na upatikanaj wa milo m3 kwa siku, na uwezo wa access huduma za msingi ktk maisha
 
So..kimsing huyo jamaa sidhan kama ni maskin..ishu ya kufaiwa hela nying si kigezo cha kum term kama ndo maskin zaid dunian...
 
sasa umasikini wake uko wapi? au unafikili maskini ni kukosa pesa
 
rejea tafsiri ya umasikini

ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kujitosheleza mahitaji ya msingi bila kupenda.

huyo ni easy tu kusema kuwa mtu mwenye deni kubwa zaidi duniani,ila siyo masikini zaidi kwa sababu anao uwezo wa kukidhi mahitaji yake.
 
Kwani mpaka saivi ameshindwa kupata basic needs?
Food Shelter Clothing Medication?
 
pengine ukiulizwa binadamu maskini kuliko wote duniani,moja kwa moja ungevuta picha ya omba omba wa barabarani pengine au maskini walioko vijijini n.k
lakini ukweli ni kwamba hao si maskini kuliko wote duniani. rejea hesabu za hasi na chanya. je kati mwenye 0 na mwenye -10 nani mwenye nyingi?
JEROME KERVIEL (37 )raia wa UFARANSA ndio amethibitika kuwa ndiye binadamu maskini zaidi kwani ana deni la EURO 4.9 BILIONI(TRILIONI ZAIDI YA 10). Deni hilo ni kutokana na hasara aliyoisababishia BENKI ya SOCIETE GENERALE alipoajiriwa kama BANKER ya huko Ufaransa katika mambo ya bet.hivyo mahakama ikamuamuru alipe hasara hiyo.
alitoroka na kuingia italia ambapo baadae alijisalimisha baada ya kuzungumza na raisi HOLLANDE wa ufaransa. alihukumiwa miaka mitatu jela lakini aliachiwa baada ya miezi mi5
View attachment 388020 View attachment 388021 View attachment 388022
Bila shaka mleta mada unapima uwezo wako wa ubishi upo kwa kiwango gani.
 
Umeenda chaka mkuu....kwaio kila anaedaiwa deni kubwa basi ni masikini..?masikini gani uyo anauwezo wa kusafiri nje ya nchi...masikini gani uyo mwenye uwezo wa kuongea na Raisi...?
 
Ni heri kuishi na shilingi mia mbili kwa siku kuliko uwe na deni hilo, hali yakuwa wewe huna uwezo wa kulilipa, huyo ni zaidi ya masikini,masikini ataishi kwa pesa ndogo sana hali yakuwa yeye ni mtu mwenye furaha tele.
 
Aiseee hivi hii ndio maana ya umasikini ? Kudaiwa hela ??
Hizi ni kufuru tembeeni vijijini huku muone maisha

India kuna mtu alishindwa kupewa ambulance na hospital ya kubeba maiti ya mkewe ,ikabidi abebe maiti ya mkewe begani Habari ipo humu Jf ,
 
masikini wa kwanza France duniani? utakua umevurugwa si bure wewe wenzio wanalipwa bila hata kufanya kazi, matibabu halipi keshi, nyumba anunui keshi,gari kali pia anunui keshi ni mwendo wa kukopa mwanzo mwisho akifa deni limeishia hapo wanaposema Nchi dunia ya kwanza unadhani wanamaanisha nini?
 
kipimo gani umetumia kufikia kusema BILL GATES ndiye tajiri zaidi duniani? ukiweza kujijibu hapo basi unaweza kujijibu swali lako mkuu. come on thinkers
Kuna tofauti kati ya kuwa mdeni na umaskini. Udeni unaweza kukupelekea kuwa masikini lakini si umasikini. Mtu anayedaiwa mabilioni ni wazi aliwahi kutawala kama siyo kumiliki mabilioni. Huyo hawezi kukosa mlo wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom