Binadamu bana...!!!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
1. Kwenye shida anakuwa mwema, mnyenyekevu,msikivu,mwenye moyo wa kutoa na hujichanganya na watu wa aina mbalimbali.

2. Akipanda daraja tu husahau wale waliomsaidia nyuma mfano shuleni,makazini,maisha ya uswahilini na kadhalika.

3. Akifika level fulani ya juu zaidi ya mwanzo hujiona amefanikiwa saaaana, na kuanza kuchagua watu wa kudili nao kimaisha kwa mfano wenye kazi tu, au wenye pesa, au wenye madaraka, wenye system iliyoeleweka ya juu na kadhalika na kadhalika....

Ubinadamu kaaazi kweli...

Nikifikiria hili sometimes inanipa kichekesho kwelikweli...
 
Wakishachemsha wanavyokuwa wapole sasa....! Wanasema be nice to people as you go up, you will meet them on your way down.
 
Wakishachemsha wanavyokuwa wapole sasa....! Wanasema be nice to people as you go up, you will meet them on your way down.

This is true,even when u try to struggle for higher posts,shule inawekwa pembeni,kinachatafutwa ni tabia!
 
Back
Top Bottom