W wakumbuli Senior Member Aug 20, 2009 147 4 Mar 27, 2010 #2 Mmmm,ila inaonekana ameshazaa mbona titi limelala sasa amezaa binadamu au
upele JF-Expert Member Mar 3, 2010 364 31 Mar 29, 2010 #3 msaada Attachments 24970373573521515604811l.jpg 46 KB · Views: 439
upele JF-Expert Member Mar 3, 2010 364 31 Mar 29, 2010 #5 Maria Roza said: Mbona sioni kitu Click to expand... just click tu dada
Sumbalawinyo JF-Expert Member Sep 22, 2009 1,282 247 Mar 29, 2010 #9 Huyu ndiye malaika ziraili mtoa uhai
Lukolo JF-Expert Member Dec 2, 2009 5,143 3,196 Mar 29, 2010 #10 Mmmh hii picha mbona hata haionyeshi kama imetengenezwa photoshop?? Isije kuwa ndo kimezaliwa kiumbe cha aina hiyo!?
Mmmh hii picha mbona hata haionyeshi kama imetengenezwa photoshop?? Isije kuwa ndo kimezaliwa kiumbe cha aina hiyo!?
Pape JF-Expert Member Dec 11, 2008 5,488 79 Mar 29, 2010 Thread starter #12 mtuwatu said: Haya mambo yanawafaa wasukuma!!!! Click to expand... huu ni utani sasa, kwanini?
Bigirita Platinum Member Feb 12, 2007 15,986 7,366 Mar 29, 2010 #13 mmmh!! mbona ana matiti lakini anaonekana kama mkia wake ni mtarimbo?
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,097 Mar 29, 2010 #15 Nasikia alikuwa kiboko wa kuiba waume za watu.....akamuibia mama mmoja wa kichagga akawa hivyo
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Mar 29, 2010 #17 Tumuulizeni Pape mwana JF mwenzetu kwa mara ya kwanza aliirusha humu yeye.
Kaitaba JF-Expert Member Jun 30, 2009 916 52 Mar 29, 2010 #20 Tall said: Labda mama alitembea na mnyama. Click to expand... Mbona watu wengi wanatembea na mbwa barabarani lakini hawazai mijitu kama hii.
Tall said: Labda mama alitembea na mnyama. Click to expand... Mbona watu wengi wanatembea na mbwa barabarani lakini hawazai mijitu kama hii.