Bin Laden aongea kuhusu Somalia

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,429
Anasema anataka Sheikh Shariff,Rais wa Somalia,aondolewe madarakani kwa sababu,mwanzo yeye ndiye aliyekuwa mkubwa wa Jihad,lakini sasa amewasaliti wenzake baada ya kushawishiwa na Balozi wa Kenya mwanamke wa Marekani.
Anasema sasa Shariff anatawala kwa kutumia mchanganyiko wa Sheria za Magharibi na sheria za Kislaamu,ambayo ni sababu tosha ya kumuondoa madarakani.
Kwa kifupi,Osama bin Laden anataka kuona sheria ya kweli Somalia,kama ambavyo hapa Tanzania tunataka iwepo sheria,siyo katika vitabu,isipokuwa katika maisha ya watu.
Osama bin Laden ameigeuzia macho Somalia. Jambo gani litatokea sasa?
 
Another American propaganda...!
 
Wamarekani bwana, njaa ilipokuwa inawapigia hodi walinyamaza kimya,hatukusika Bin Laden wala nini, saivi weshashiba wanatafuta wa kumtoa maungoni, stupid Americans...
 
It would have been prudent, if you asked the source for such information to confirm whether is Americans propaganda or really Osama fellows, before throwing stones to Americans.
 
this dude is dead!!we need to stop having an idea that he is still alive!!take a look of the whole scenerio:::the americans invaded iraq and they never found him!!!
 
Hey,no one has blamed the Americans. Even bin Laden has not blamed the Americans when he gave this message. You want to know where I got this message from? This is a BBC message,quoting a radical Jihadi website,that bin Laden says.'' Judge for yourselves everyone,is it Sheikh Shariff who should be blamed or is it the Americans who should be blamed? Surely,it is Sheikh Shariff who should be blamed"" This is what bin Laden said,that it is not the fault of the Amercans,but it is th fault of Sheikh Shariff.
 
WAMEANZA KUMGEUKA "shehe wao wa dunia"
HASA PALE ANAPOTOA MANENO AMBAYO HAYADHANIWI KUWA NDIYE ALIYESEMA...!
OSAMA BIN LADEN a.k.a "shehe wa dunia" SASA AELEKEZA MACHO YAKE SOMALIA...!
 
Eeeh...! shehe wa dunia...!? Duh! kaaazi... kweli kweli...! Haya!
 
Hey,no one has blamed the Americans. Even bin Laden has not blamed the Americans when he gave this message. You want to know where I got this message from? This is a BBC message,quoting a radical Jihadi website,that bin Laden says.'' Judge for yourselves everyone,is it Sheikh Shariff who should be blamed or is it the Americans who should be blamed? Surely,it is Sheikh Shariff who should be blamed"" This is what bin Laden said,that it is not the fault of the Amercans,but it is th fault of Sheikh Shariff.

Na hizi comment ni za aina gani?

Wamarekani bwana, njaa ilipokuwa inawapigia hodi walinyamaza kimya,hatukusika Bin Laden wala nini, saivi weshashiba wanatafuta wa kumtoa maungoni, stupid Americans...

Another American propaganda...!
 
Eeeh...! shehe wa dunia...!? Duh! kaaazi... kweli kweli...! Haya!

muulize mhadhiri MAZINGEyeye siku hizo bin laden anavuma niliwahi muona akiwa amevaa fulana yenye picha ya osama na huku akinadi jinsi ilivyoandikwa kwenye fulana hiyoOSAMA BIN LADEN....SHEHE WA DUNIA...!
 
Fisadi za kimarekani haziishi

Kiboko yao Ahmad Najaat wa Iran amewashtukizia

Si ndo zao, wakiona Taifa strong kama Iran linatisha, hutaka kuanza na uongo ili wavamie kirahisi, hawajui kama Ulimwengu wanajua Iran ni the next Country to invade for America

Marekani wameula huu
 
muulize mhadhiri MAZINGEyeye siku hizo bin laden anavuma niliwahi muona akiwa amevaa fulana yenye picha ya osama na huku akinadi jinsi ilivyoandikwa kwenye fulana hiyoOSAMA BIN LADEN....SHEHE WA DUNIA...!

Sasa mazinge kuvaa fulana ndio kielelezo cha uislam? Mbona unachanganya mambo kaka!
 
There is everything reason to believe that OSAMA is no longer but what is still existing and will continue is Osama ideology
 
Back
Top Bottom