MamaParoko
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 463
- 60
Jamani naombeni maoni yenu kuhusu bima ya taifa ya afya, kuna mvutano kazini kuhusu kujiunga nayo.
Je, kwa waliowahi kutumia mnaonaje huduma za bima hiyo? ni za kuridhisha au?
Je, kwa waliowahi kutumia mnaonaje huduma za bima hiyo? ni za kuridhisha au?