Bima ya mke/mme

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Kuna kampun imeamua kuanzisha bima ya mke/mme,kwa hyo wale wenye wame au wake wanatakiwa wawekeze ili mmoja wenu akifa au kuachana hii bima ikupe mke/mme mwingine.

Wekeza maisha,wekeza mwenzio.
 
ka sijaoa?naruhusiwa kuwekaga?
 
Back
Top Bottom