Bima ya Maafa ya Nyumba

Fofader

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
860
293
Wakuu ni maoni yangu kwamba bima ya gari ni maarufu zaidi kuliko bima ya maafa ya nyumba. Ukilinganisha gari na nyumba naona nyumba ni muhimu zaidi kuliko gari. Ni kwa nini watu wengi hawawekei nyumba zao bima za maafa na hali risk ni kubwa k.m. ukichukulia umeme wa Tanesco na vifaa vya kichina? Kuna mtu anajua the best rate ya bima kwa Tanzania na ni ngapi?
 
Hata kwa kuangalia tu! Gari lipo kwenye risk zaidi kulikn Nyumba. Mara ngapi umesikia Nyumba zimeungua na Mara ngapi umesikia ajali za magari. Ukijibu hapa hakuna haja ya kuendelea na mada.
 
Hata kwa kuangalia tu! Gari lipo kwenye risk zaidi kulikn Nyumba. Mara ngapi umesikia Nyumba zimeungua na Mara ngapi umesikia ajali za magari. Ukijibu hapa hakuna haja ya kuendelea na mada.
pia nyumba si zinapata ajali.you never know,kakate bima
 
Mkuu bima ya gari ni lazima (yaani unalazimishwa na sheria za nchi). Vinginevyo kuna watu wengi tu wasingekuwa nayo pia.
 
Back
Top Bottom