Bima Mpya ya Talaka

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Kuna bima mpya imeanzishwa, inaitwa Bima ya Talaka au kwa kimombo "Divorce Insurance". Hii bima inasaidia kupunguza gharama mbalimbali zinazotaokana na talaka, kama vile gharama za kuajiri mwanasheria, n.k Ili kuepukana na uchakachuaji wa hii bima, baada ya kuchukua bima, inakubidi usubiri miaka minne kabla ya kutuma madai yako. Coverage ni solid na unalipa premium kila mwezi kwa mwaka mmoja na unaweza ku-renew kila baada ya mwaka.

Kama unataka kupima dalili za ndoa yako kuvunjika na kupewa talaka unaweza kupima hapa: WedLock Divorce Insurance - Divorce Probability Calculator . Ukipima na ukajikuta una high chance ya kupewa talaka, bofya WedLock Divorice Insurance - Divorce Calculator ujue utanunua bima ya kiasi gani.

Kazi kwelikweli.
 
insurable interest kwenye hii insurane inakuwa nini? ndoa? hiyo ndoa inaweza kuwa na quantifiable value kwa mtu?
 
What the hack is this ?

natafuta miguu na kichwa cha hii bima....
what a crap....
 
What the hack is this ?

natafuta miguu na kichwa cha hii bima....
what a crap....

Mguu na kichwa cha hii bima ni kuongezeka kwa talaka hivi karibuni wakati watu wenyewe hawawezi hata kuzigharamia.
 
Mguu na kichwa cha hii bima ni kuongezeka kwa talaka hivi karibuni wakati watu wenyewe hawawezi hata kuzigharamia.

My dear kuoa/olewa ni garama
kuachana ni garama pia..
duuuuhhh

Balaa tu..
alietunga hii sheria
alikuwa anafikiria nini??
 
Back
Top Bottom