Watanzania wanaishi kama shida na taabu za umasikini mkubwa sana.
Watanzania wengi hawajui kesho, jana afadhali.
Zitto amefichua na ametuambia watanzania kuwa kuwa ujanja ujanja kwenye hela za kufidia makampuni.
Inasemekana makapuni hewa yamepewa zaidi ya Billion 48....
Sasa hao waliojivua gamba, ndo wenye serikali. Wanatakiwa wathibitishe kuwa hawakuzitumia kwenye uchaguzi.
Hao wenye magamba, hawawezi kushinda bila ufisadi, What a political party, shameeeee on you all....
Wanafunzi wa vyuo vikuu wanahangaika kujaza form za mikopo, why Mikopo Tanzania? Kwa nini wanafunzi mikopo, ajira iko wapi afterall???
Hao vigogo na mawaziri walisoma bure, leo wanafuja billion 48 ....aibu..
Wanafunzi wa vyuo vikuu wangesoma bure... Hey University students shout please... Wanafunzi Vyuo vikuu piga keleleee...
Wanafunzi wa vyuo vikuu ndo vijana ambao wataiweka Tanzania pazuri kesho.. Hata mikopo yenyewe inatolewa kwa mafungu, ubaguzi...
Wanafunzi secondary wanafeli, kisa hakuna vifaa vya kufundishia na walimu hakuna hey watanzania piga keleleee...
Watu wanakimbia fani ya ualimu, kisa mshahara kidogo... Walimu walipwe sawa na TRA ili watu wakimbilie ualimu.
Tena inatakiwa walimu walipwe vizuri kuliko TRA ili walimu waliofaulu vizuri masomo wakafundishe ili kuongeza ufaulu..
Hospitali hazina dawa....
Mikataba feki, madini yachukuliwa kwa ndege ---10%
hey Watanzania tupige keleleeee