Billioni 200 versus Billioni 21!!

New2JF

Senior Member
Oct 25, 2011
123
27
Kama Kweli Serikali imetenga hizo hela ili kuajiri madaktari wapya wa nje kutokana na mgomo unaoendelea, hii itamaanisha,
1. Serikali inataka kuwakomoa madaktari kwa kuwanyima billioni 21 lakini kutoa billioni 200 kwa madaktari wa nje. Huu ni UJUHA wa kiwango cha juu kuwahi kutokea ( source- mimi mwenyewe)
2. Ina maana serikali tangu mwanzo wa maandalizi ya bajeti ilijua kuwa madaktari watagoma ndio maana ilishatenga hizo hela kwa ajili ya replacement. Hii mtaumbuka
3. Kwanini serikali inagoma kuongeza mishahara ya madaktari wakati wabunge mishahara yao imetupandishia kutoka milioni 7.5 hadi milioni 10???? bila kuwaomba ( source- mimi mwenyewe nimelipwa hivi)
 
Mkuu jana nimeuliza kuwa kama wataajiri hao madaktri kutoka nje pese ya kuwaajiri itatoka wapi, kwa nini unyanyase watu wako kwa kujikomba kwa wageni???? Hiyo ni akili kweli??????(ETI SERIKALI HAINA PESAAA????)
 
Serikali muflisi hii,tokea ilipoandaa tukio la kumteka nyara na kumpiga Dr Ulimboka wenye akili walishaona namna ilivokwisha na kuchemka
 
Serikali hii inanipa burudani sana! Siku hizi sina haja ya kuangalia The Commedy, huwa namwangalia Pinda na Dhaifu wanapoongea. Kwa hakika mimi na wanangu huwa tunacheka sana! Inanikumbusha hadithi tulizokuwa tunasoma Utotoni za Bulicheka na Mfalme Huhihuhihuhi. Anachofanya Dhaifu, hakina tofauti kabisa na Mfalme Huhihuhihuhi.
 
Kwasasa ni bora kuangalia KIRIKOU kuliko kutuangalia ndani ya bunge
 
Mkuu jana nimeuliza kuwa kama wataajiri hao madaktri kutoka nje pese ya kuwaajiri itatoka wapi, kwa nini unyanyase watu wako kwa kujikomba kwa wageni???? Hiyo ni akili kweli??????(ETI SERIKALI HAINA PESAAA????)
Mimi nafikiri si vibaya kwa sababu hata kura ktk uchaguzi wa 2015 watapigiwa na hao madaktari kutoka nje ya nchi!!
 
Na ndio maana ninaipenda sana hii quote....."Some people are alive only because it's illegal to kill them." (Unknown)
 
Back
Top Bottom