bill za bar!

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,641
3,675
ni vema ukaenda na calculator kama huwezi kung'oa macho!jamaa ni noma
 
Attachments

  • Photo0004.jpg
    Photo0004.jpg
    37.3 KB · Views: 1,160
hiyo mbona cha mtoto sogea hapo rose garden uone kilichomtoa kanga manyoya... bili unajumlishiwa na mwaka...
 
Yaani ni balaa
na usipokuwa makini unaletewa mpaka na bili za wengine na vinywaji ambavyo toka uzaliwe hujawahi kuvinywa
Ila utakuwa umeandikiwa kuwa umekunywa
 
Kuna ambao kwanza wanaweka bei fake (yani soda ni 1000 anakuwekea 1300), alafu anachakachua results vile vile.
Ukimbana kwenye hesabu unarelax kumbe amesha kukanyaga kwenye bei!
 
Kuna baa na hotel nyingine ni balaa hizo bill kwanza mwandiko utafikiri hawajui kusoma na kuandika na namna ilivyoandikwa huwezi jua ni 2 au tano
 
Very Interesting Huwa wanakosea kwa kuongeza bill why not kwa kupunguza bill? Ukimbana ohoo nilikosea mbona usikosee na kuandika less amount.
 
pakajimmy!ni hapahapa arusha!ni-pm nikuhabarishe sitaki kuharibu biashara za watu
Jumapili tulikUwa mahali panaitwa Country Coffer, tulipigwa na shock baada ya mdada wa kaunta kutaka kuzikataa bill zake mwenyewe baada ya kujaribu kutuibia, akihisi kuwa tushalewa... kumbe watu wakaaaavu, na ndio kwanza tunapanga kuhamia Bar Mpya!
 
here are the tricks
-bei fake
-unajumlishiwa na mwaka
-unachanganyiwa namba
-grand total iliyochakachuliwa
-unawekewa vinywaji usivyokunywa

endelea
 
Sana sana huwa wanakamatwa wanaume, sie wadada huwa tunatembea na calculator kwenye vipima joto vyetu, hawatupati ng'ooo.
 
Jumapili tulikUwa mahali panaitwa Country Coffer, tulipigwa na shock baada ya mdada wa kaunta kutaka kuzikataa bill zake mwenyewe baada ya kujaribu kutuibia, akihisi kuwa tushalewa... kumbe watu wakaaaavu, na ndio kwanza tunapanga kuhamia Bar Mpya!

Kumbe uko makini eeee

Very Interesting Huwa wanakosea kwa kuongeza bill why not kwa kupunguza bill? Ukimbana ohoo nilikosea mbona usikosee na kuandika less amount.

hapo ndio nashangaaga siku zote!halafu mshangao wao kama wamekariri wote ukiwaambia utasikia ahaa!kumbe nimekosea!
 
Ni Dar sehemu hizi zinatisha: Rose Garden, Break Point zote mbili, Chef Pride,Southern Sun.....................................Angalizo ogopa ukiingia bar au mgahawa ukakimbiliwa na more than one mhudumu ujue hapo mwisho wa siku unapigwa
 
Jumapili tulikUwa mahali panaitwa Country Coffer, tulipigwa na shock baada ya mdada wa kaunta kutaka kuzikataa bill zake mwenyewe baada ya kujaribu kutuibia, akihisi kuwa tushalewa... kumbe watu wakaaaavu, na ndio kwanza tunapanga kuhamia Bar Mpya!

Mkuu, bar mpya pale pin point nini?
 
here are the tricks
-bei fake
-unajumlishiwa na mwaka
-unachanganyiwa namba
-grand total iliyochakachuliwa
-unawekewa vinywaji usivyokunywa

endelea

-Unajumlishiwa na tishu ulioitumia
...................................................
 
Back
Top Bottom