Eti nasikia Bill gates yupo Arusha,ni kweli?.Mtu mumoja ananambia amefika jana na saizi yupo Ngurudoto Arusha.Kuna mtu mwenye ntunzi zaidi?
kaja Kimya kimya hivyo? Ina maana hata JK asingempa company...!
Ngoja nikae standby kwenye milango ya kutokea, huenda nikabahatisha
kumwona mzee huyu wa mapesa!
Eti nasikia Bill gates yupo Arusha,ni kweli?.Mtu mumoja ananambia amefika jana na saizi yupo Ngurudoto Arusha.Kuna mtu mwenye ntunzi zaidi?
eeeh yupo kaja kukagua barabara
FYI it is not the first time kuja TZ..every year towards November huwa anakuja kwa mapumziko...hayupo Ngurdoto yuko Grumeti Lodge...
Check your key board!!Ili iweje??????njaa zako haziwezi kuisha kwa kunuona bill gates,
fanya kazi....haikusaidii sana kama yuko arusha au zanzibar.
Check your key board!!Eti nasikia Bill gates yupo Arusha,ni kweli?.Mtu mumoja ananambia amefika jana na saizi yupo Ngurudoto Arusha.Kuna mtu mwenye ntunzi zaidi?
kupimzika Arusha ?
tks