Bill Gates asema matumizi ya chanjo yatasaidia kupunguza idadi ya watu duniani

Kwamhuzi

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,762
400
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,tajiri mkubwa kabisa duniani wa kampuni ya Microsoft amesema chanjo zitasaidia kupunguza idadi ya watu duniani. Ikizingatiwa kwamba yeye ni mfadhili mkubwa wa campaign za chanjo duniani,haya ni matamshi ya kustua, kwa kuwa ni kinyume kabisa na yale matamshi yaliyozoeleka kutoka kwake, wizara ya afya na hata wadau wengine wa afya.Lakini matamshi haya yana uzito mkubwa, kwa kuwa yanatoka kwa mmoja wa watu ambao wanahusika na kupanga mikakati ya baadae ya dunia.Mawazo haya sio mapya kwa kuwa yameshawahi kutolewa na viongozi wengine wa dunia kama Obama,Cameron,Roekefeller,Bush junior,Bush Seniour nk.,kwa hiyo yana ukweli.Kinachokera sana ni kwa nini wadhani kwamba wanadamu wanahitaji kupunguzwa,kama vile unavyoweza kupunguza ng'ombe?
Matamshi haya, aliyatoa kwenye mkutano wa siku za hivi karibuni wa TED.TED ni shirika lisilo la kibiashara ambalo kazi yake ni kusambaza mawazo yenye impact kwa dunia,mara nyingi kwa kutumia mazungumzo mafupi.Katika hali pia ambayo haikuwa ya kawaida, mkutano wa Bill Gates ulifadhiliwa na shirika moja ambalo linahusika na uchafuzi wa mazingira katika kiwango juu sana duniani, kwa kutumia kemikali za sumu(like bigets like).Katika hotuba yake alisema, chanjo inabidi zitumike ili kutatua tatizo la ongezeko la joto duniani na kupunguza hewa ya ukaa(Carbon dioxide)
Alisema idadi ya watu inakaribia bill.9,na kuongeza, kama tukifanya kazi nzuri kwenye chanjo mpya,huduma za afya na mpango wa uzazi, kama kutoa mimba(inashangazae!?), tunaweza kupunguza idadi ya watu kwa asilimia kumi au kumi na tano hivi.Baada ya kutoa equation(ona video>Bill Gates admits Vaccines Are Used for Human Depopulation-www.youtube.com)ambayo ina idadi ya watu na kiwango cha hewa ya ukaa,Gates alisema,"'lazima kimoja cha vitu hivi kikaribie sifuri(waliohudhuria mkutano wanacheka). "Baadae katika maongezi yake,anachukua chanjo,na kusema, "ni kitu ninacho kipenda!"Kitu ambacho kingeweza kutumika kupunguza hewa ya ukaa!Nimalizie kwa kusema,ndio,wanadamu tuko njia panda.Kama haya ndio wawazo ya wale ambao kwa ujinga wetu,tunadhani watatusaidia, tumekwisha.Ni vema tukatambua kwamba nia yao sio kutusaidia,bali kutumaliza,Tuamke,tumelala usingizi wa pono!
 
wazungu siku zote wanajifikiria wao na kutuona sisi kama wanyama sasa hivi kuna watu wanapigia debe vyakula vya biotec
 
Hii haiwezi kuwa uchochezi kwa kuwa kasema mbele ya kadamnasi,hakusema sirini.Alitaka watu wajue.Nia ni kuweka mambo yao wazi kwa kuwa wanajua wameshamaliza kazi.
Huu utaambiwa ni uchochezi......
 
Alafu atatokea kiongozi anajisifu katika uongozi wake alichanja watoto woote tanzania nzima tena chanjo yenyewe ni msaada!
 
Hii inanifanya niamini kuwa hata HIV ilitengenezwa maksudi.
 
Ni mjinga tu anayeweza kupigia chapuo GMOs.Huyo lazima makampuni makubwa yanayo husika na mazao hayo, kama Monsanto yatakuwa yameshamlainisha kwa kumpa kitu kidogo au ameajiriwa na makampuma hayo.In other words in one way or the other maisha yake yanategemea makampuni hayo,kwa hiyo ameshikiwa akili.Otherwise I can't see any other reason why a sensible person can advocate the use of GMOs.
wazungu siku zote wanajifikiria wao na kutuona sisi kama wanyama sasa hivi kuna watu wanapigia debe vyakula vya biotec
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom