Bilioni 8, na milioni 500 ya dhamana kwa Iddi simba

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kweli Tanzania imeendelea kuwa shamba la bibi kwani baada ya Idd Simba jana kufikishwa mahakamani na kesi hiyo kuahirishwa alitakiwa kutoa hati yenye thamani ya milioni 500 kama dhamana lakini Idd Simba alivunja rekodi baada ya kutoa hati ya bilioni 8 kama dhamana
swali;Jamani hivi bilioni 8 ni fedha zake halali kweli?
Kama sio kwanini asifunguliwe kesi nyingine ya ufisadi?
Nawasilisha
source ITV
 
....Iddi Simba anataka kuudhiirishia umma kuwa yeye anapesa na ababaishwi na vijisenti(milion 500), hapo CAG anabidi afanye kazi haswaaa.
 
Mzee yuko safi aibu yaani kwa ujumla ananuka pesa.Ndo wazee wachache waliokuwa wanawaza pesa enzi hizo na kweli wamezisanya safi sana.Mkuu mtu mwenye pesa siku hizi unatakiwa umpe hongera sio umshitaki kupata hela inahitaji akili ya ziada.
 
Iddi Simba ni mwizi wa siku nyingi(big time criminal),kuna mtu anaozea jela na kesi kadhaa bado zinaendelea(Maranda EPA cases),huyu ni mtu wa karibu wa Iddi Simba yaani kijana wake wa kazi (home boy), na deal zote za EPA Iddi alikuwa architect na inasemekana yeye ndiye kala mzigo mkubwa kuliko hata huyo anayeozea jela.
 
Kweli Tanzania imeendelea kuwa
shamba la bibi kwani baada ya Idd Simba jana kufikishwa mahakamani na
kesi hiyo kuahirishwa alitakiwa kutoa hati yenye thamani ya milioni 500
kama dhamana lakini Idd Simba alivunja rekodi baada ya kutoa hati ya
bilioni 8 kama dhamana
swali;Jamani hivi bilioni 8 ni fedha zake halali kweli?
Kama sio kwanini asifunguliwe kesi nyingine ya ufisadi?
Nawasilisha
source ITV
Hizo bilioni 8 zinaweza zisiwe au zisiwe au mchanganyiko.Ujue yule ni mfanyabiasha mkubwa na ni wa siku nyingi.Na hiyo inawezekana ni sehemu tu ya utajiri wake.Nchi hii kuna watu wanaogelea kwenye utajiri bhana.
 
Iddi Simba ni mwizi wa siku nyingi(big time criminal),kuna mtu anaozea jela na kesi kadhaa bado zinaendelea(Maranda EPA cases),huyu ni mtu wa karibu wa Iddi Simba yaani kijana wake wa kazi (home boy), na deal zote za EPA Iddi alikuwa architect na inasemekana yeye ndiye kala mzigo mkubwa kuliko hata huyo anayeozea jela.
IDD SIMBA sio muha ni mrundi wa Bujumbura mtaa wa Kayenzi,babayake anaitwa mzee Simba Dume mpaka miaka ya 1997 alikuwepo hapo Kayenzi na ndugu wengine wa Idd Simba,sijui uraia wake aliupata vipi
 
Huyu ni mdau mkubwa wa taasisi moja ya kukopesha pesa hicho kiasi ni kidogo kwake.
 
Huyu ni mdau mkubwa wa taasisi moja ya kukopesha pesa hicho kiasi ni kidogo kwake.

Sio siri, sema PRIDE!!!

Kwa jeuri hiyo ya fedha kesi ndio imekwisha hiyo...!!!! (Kwa kuweka mawakili shupavu na wazuri).

Tanzania wanaohukumiwa ni mwizi wa kuku (Shs. 10,000) anaefungwa miaka 3 ambapo gerezani atatumia shs. 3,000/= kwa siku kwa chakula, bado gharama za mavazi, malazi, usafiri, matibabu na ulinzi. (Hapo ni baada ya kubahatika kukwepa hukumu ya wananchi wenye hasira kali!!).
 
nakubali
 
Huyu ni mdau mkubwa wa taasisi moja ya kukopesha pesa hicho kiasi ni kidogo kwake.

SEMA PRIDE TANZANIA
Directors
1. Iddi Simba (Chairman)
2. Mrs. Christina Nsekela
3. Mr. Salmon Odunga
4. Mr. Jonathan Campaigne
5. Mr. Damas Dandi
6. Mr. Rashid Malima
7. James Obama
Management Team
1. Mr. Rashid G. Malima – Managing Director and Secretary to the Board
2. Shimimana Ntuyabaliwe - General Manager
3. Mr. Alfred Kasonka – Finance Manager
4. Mr. Andrew J. Odunga – Chief Internal Auditor

5. Mr. Maximillian Muhula – PA Human Resources Development
6. Ruta Kakoki - PA - Human Resources
 
Mwizi mzoefu hafungwi ameiba toka enzi zile za uwaziri,huyo mzee ni master wa dili za magumashi hapa town hawamuwezi.
 
Kweli Tanzania imeendelea kuwa shamba la bibi kwani baada ya Idd Simba jana kufikishwa mahakamani na kesi hiyo kuahirishwa alitakiwa kutoa hati yenye thamani ya milioni 500 kama dhamana lakini Idd Simba alivunja rekodi baada ya kutoa hati ya bilioni 8 kama dhamana
swali;Jamani hivi bilioni 8 ni fedha zake halali kweli?
Kama sio kwanini asifunguliwe kesi nyingine ya ufisadi?
Nawasilisha
source ITV

Hivi huyu ndiye yule Idd Simba ambaye ni mwenyekiti wa 'wazee wa DSM' amabo mheshiwa Rais anawatumia kuwakilisha ujumbe kwa watanzania wote ikiwa kuna jambo tete nchini kama mgomo wa wafanyakazi/ madaktari n.k ? mwenye kujua naomba anijuze tafadhali.
 
Huyu ni mdau mkubwa wa taasisi moja ya kukopesha pesa hicho kiasi ni kidogo kwake.

Ile PRIDE ni NGO iliyopata pesa za mtaji kutoka NORAD, Idi Simba ni Mkurugenzi ktk Bodi na hana hisa yoyote, ingawa kwa kuwa PRIDE inabadilika kuwa PLC wanapigania sana ili Wakurugenzi wagawane huo mtaji kama hisa zao binafsi na sijui wamefikia wapi.
 
Back
Top Bottom