Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Jamani pesa nyingi zinatumika vibaya kwenye hii nchi mapka inatia hasira.
Si wanasema ni asilimia 40 tu ndiyo wanalipa kodi?Na kwamba hao ndiyo wenye kufanya maamuzi?Nchi inahitaji kukombolewa kutoka kwene mikono ya mafisadi wachache,wananchi wasipofanya hivyo na kuweka wawakilishi wa kweli,basi hawana haja ya kuonewa huruma...Kama hutaki dawa kulazimishiwa hakutasaidia kwasababu utaitema tu.Jamani mabilioni mengine yanateketezwa kukarabati ukumbi wa Bunge bila sababu ya maana. Hivi kama huna hata nguo za kuvaa unaweza kuwaza kununua gari? Zaidi ya hayo wanataka waongeze idadi ya wabunge ili waendelee kula kodi zetu! Si wangezipeleka hizo fedha kununua dawa hospitalini, kununua madawati ya wanafunzi wa shule za msingi, nk?
6.0 Nchi ya kwanza duniani kuwa na WASWAHILI WENGI