asante kutushukuru kwa niaba ya UwT nasema asante sana. Siyo kazi rahis ndugu kulinda maslahi ya nch. Kuna wakati hatulali kabisa.Ahsante Prime Minsiter Majaliwa kwa ushirkiano wa TISS yetu Imara!!!!!
Lake oil weeeee.....Chunguza kwa makini wakurugenzi hadi wafagizi ndani ya hayo makampuni wakwepa kodi; more than 90% ni mashemeji zake FaizaFoxy.
Itabidi saver ya JF ipelekwe kwenye space kabisa manake...jf imekuwa sehemu mtu akizidiwa kete anakuja kumwaga ugali.
Hapa kuna shida kubwa sanaUchunguzi uwe makini sana na uanze wakaguzi wa hiyo hizo idara husika,viongozi wa bandari ya Petrolia ( Oil Terminal ), na wafanyi biashara wa petroli. Hapa tumezoea zillions of shillings