Bilionea Alhaj Aliko Dangote ni CCM?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,714
Magufuli kazidi uwongo jamani.Katika kupitia yaliyojiri katika kampeni zake Mtwara alikuwa akijinasibu kwa majigambo kuwa CCM inajenga kiwanda cha sement Mtwara...Nachojua mimi ni kuwa Bilionea mwenye dola nyingi
kuliko wote barani Afrika
ambaye ni Mwenyekiti na
Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Dangote Group of Industries Alhaj Aliko Dangote kutoka
Nigeria ndiye mwenye huo mradi huo na sio CCM.Mwaka huu Dangote amefanya ziara
mkoani Mtwara kukagua
hatua zinazopigwa katika
ujenzi wa kiwanda chake
kikubwa cha saruji mjini
Mtwara. Magufuli na CCM mtuambie kiwanda cha saruji mnachojenga Mtwara ni kipi,au mnajengea chumbani hakionekani
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    9.8 KB · Views: 50
Back
Top Bottom