Bilali kazini

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
_DSC0348.JPG
 
Msemaovyo we kiboko! Loh!

Ila hapo naona kama bandari au kwenye yadi flani ya makontena, afu bilal na wengine wanamsikiliza jamaa kwa makini, sijui anawachakachua nini hapo....huyo jamaa anaefanana na AL HADAWI ni nani?? wanaomjua watujuze! inawezekana KIMEO kingine kinasukwa hapo!
 
wanajadili maandeleo ya Taifa,wana hekima.
sio wale wapenda sifa kwa maandam***
wenzenu wanatekeleza nyie manapayuka tu.
kila la kheri waheshimiwa WATANZANIA tunawategemea.
 
Samahani wandugu,ina maana akifa mkwere,kabla ya 2011(siombei hivyo,bali mapenzi ya Mungu yatimizwe)huyu mpemba atakuwa rais?
 
Samahani wandugu,ina maana akifa mkwere,kabla ya 2015(siombei hivyo,bali mapenzi ya Mungu yatimizwe)huyu mpemba atakuwa rais?
 
teh! teh! AL-ADAWI Brigedia Mstaafu, wanafanana! Huyo ni nani wadau? Mtujuze!
 
Back
Top Bottom