William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
"RAISI Kaagiza PCCB Kuchunguza na kuwachukulia hatua wanaohusika na ubadhilifu"
Nilicheka sababu kuu mmoja PCCB huwa hawana uwezo wa kushugulikia rushwa kubwa mpaka raisi awaagize. Tena hufanya kilakitu kwa jinsi watakavyotumwa na matokeo yake ni KUPAMBA RUSHWA TU.
Na wasomi wote walioko TAKUKURU kuendeshwa hivyo kweli wasomi ni chakula cha wanasiasa.
PILI UMAKAMU NI CHEO kisichokuwa na madaraka hivyo huyu anapiga kelele tu..
Tatu raisi kasema Mawaziri hawana makosa ila watendaji wa chini wanawafanyia hiyana je anafikiri kuna hatua hapo?
Zamani nilipoona POLISI wanatumika kisisa nikajua elimu ndogo
Taratibu maafisa usalama nikazani labda hao nao waliiba tu mitihani
TAKUKURU walivyotumiwa kwe chaguzi kisisa na kumsafisha chenge nikaguna
MAHAKAMA zilivyoanza na Nguza, KESI ZA MGOMBEA BINAFSI. Zombe,EPA, KESI ZA UCHAGUZI mh kweli
"WASOMI CHAKULA CHA WANASIASA"