Bila ya Kuona Huwezi Kuamini...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
<table align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="width: 506px; padding-left: 7px; padding-right: 7px;"><table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4951106.jpg

Vipande vya nyaya za chuma kwenye tumbo la Noorsyaidah</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Thursday, September 16, 2010 1:07 AM
Kuna magonjwa mbalimbali duniani lakini ugonjwa huu haujawahi kuonekana duniani, mwanamke mmoja wa nchini Indonesia mwili wake badala ya kutoa vinyweleo, unatoa vipande vidgo vidogo vya nyaya za chuma vyenye urefu kati ya sentimeta 10 na 20.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Bila ya kushuhudia kwa macho unaweza ukasema ni uzushi na hata utakaposhuhudia kwa macho hutaamini na utaendelea kuamini ni uzushi.

Katika hali ambayo hata wanasayansi wameshindwa kuielezea, mwanamke mmoja wa nchini Indonesia mwili wake unaota vipande vya nyaya za chuma badala ya vinyweleo.

Mwanamke huyo anayejulikana kwa jina la Noorsyaidah amekuwa akisumbuliwa na hali hii inayomtesa sana kwa miaka 17 sasa.

Utafiti wa madaktari umeonyesha kuwa nyaya hizo mbali ya kujitokeza kwa nje zipo pia ndani ya mwili wake.

Noorsyaidah mwenye umri wa miaka 42 ni mwalimu wa shule ya chekechea katika kitongoji cha Sangatta katika mji wa Kutai nchini Indonesia.

Hadi sasa hakuna sababu yoyote iuliyotolewa na wanasayansi kuhusiana na hali hiyo zaidi ya kusemekena kuwa ni vijimambo vya UCHAWI.

Ugonjwa wake huo ulianza mwaka 1991 wakati nyaya za chuma zilipojitokeza kwenye kifua chake na tumboni mwake.

Katika wiki yake ya kwanza vipande hivyo vya waya vilinyofoka venyewe toka kwenye mwili wake.

Lakini mwezi mmoja baadae vipande vingine vya nyaya vilijitokeza tena lakini safari hii havikunyofoka na badala yake vilianza kuongezeka urefu. Alipovikata vilijitokeza katika sehemu nyingine ya mwili wake.

Madaktari wataalamu wapatao wanne wameishamfanyia uchunguzi Noorsyaidah kwa njia wanazozijua wao lakini hakuna hata mmoja aliyegundua sababu ya nyaya hizo kujitokeza kwenye mwili wake.

Madaktari walimpiga picha za X-Ray kwenye tumbo lake na waligundua kuwa Noorsyaidah ana jumla ya vipande 40 vya nyaya ndani ya mwili wake ambapo baadhi ya vipande hivyo vimeongezeka urefu na kujitokeza nje ya tumbo lake.

Cha ajabu zaidi ni kwamba vipande hivyo vya nyaya havisambabishii Noorsyaidah ugonjwa wa tetenus.

Noorsyaidah anasema kwamba vipande hivyo vya nyaya vinamsababishia maumivu makali sawa na mtu anayechomwachomwa na sindano.

Angalia VIDEO ya Noorsyaidah na vipande vyake vya nyaya kwenye tumbo lake.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">








</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="15"> <table style="width: 488px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td style="width: 429px;"></td> <td style="width: 249px;">






Source: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> </tr></tbody></table>
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma, nimetazama video, nimeona na picha, lakini bado siamini, kama Tomaso, mpaka nione kwa macho sio picha, sio video, na kugusa kwa kidole, ndipo nitaamini, vinginevyo hivi ni vijimambo tuu.
 
Inasikitisha sana, kweli Mungu katuumba kwa mfano wake, lakini hakuna wa kufanana nae, ni kweli huwezi kuaminin lakini ni jambo ambalo lipo, duniani kuna majaabu sana, kuna kila haja ya kumsifu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa alivyokuumba na kukuweka jinsi ulivyo.
 
kumbe we pia wajua hayo basi badili hiyo avatar yako yenye jiwowo nje nje na hiko kich.pi ukifunike..:lol::eek2::eek2:
Inasikitisha sana, kweli Mungu katuumba kwa mfano wake, lakini hakuna wa kufanana nae, ni kweli huwezi kuaminin lakini ni jambo ambalo lipo, duniani kuna majaabu sana, kuna kila haja ya kumsifu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa alivyokuumba na kukuweka jinsi ulivyo.
 
Back
Top Bottom