Bila "vijisenti" kumbe hutulia..........

wanaume wengine wakizipata yanalia mbwata mbwata.....

Usikute dharau iliongezeka ndani ya nyumba, au mwanaume analala nje, amani hakuna nk........ Loh pole kwa hiyo familia
 
mmmh, hivi bora kula tembele, watoto kusoma kayumba, kupanga, kupanda daladala kuliko mme kupepesa macho nje???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom