Bila "vijisenti" kumbe hutulia..........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Kuna mama mmoja jirani yangu ambaye siku hizi tabasamu halimtoki mdomoni...............nilipomwuuliza hizi nderemo ni za nini jibu alilonipa liliniacha kinywa wazi nikapigwa na butwaa..........................akaniambia jeuri yake sasa kwisha.....................nilipomwuuliza nani huyo akasema si huyu mzee wake sasa "vijisenti" hana na amekuwa na kauli nzuri na hana dharau tena............akaniambia sasa hivi ni muungwana sana.........na akaongeza kashika adabu na Mungu ni mkubwa.......sala zake Mwenyezi Mungu amezisikiliza............na ya kuwa mumewe sasa anahangaika kutafuta ugali wa watoto wake bila zengwe.............Ama kwa hakika kumbe "vijisenti" tunavipenda lakini kumbe vyaweza kuleta mtafaruku ndani ya familia........................lol
 
Vijicent ndivyo vinawafanya mizee in their 50s n 60s kujiona kuwa they r sikstin na kufuata vimiss samwea! Na asikuambie mtu, ndoa huharibiwa zaidi na hizi nyumba ndogo zifuatazo mapene!
 
Mwenye tabia haachi kamwe hata vijisenti vikimuishia atapata njia tu ya kuendelea kufanya upuuzi wake, kamwe siwezi kuomba riziki ipae ili eti mwenzangu atulie, zaidi angeomba Mungu mumewe abadilike au pia angejaribu kumbadili taratibu. Kwasababu akizishika tena atarudi kule kule. Sasa whats that?!
 
vimiss lazima tuwaelewe.................wengi wao shule hawataki, kazi za mikono hawataki......................lakini kumpakata babu wanaona ni kazi laini ili mradi wapate mkate wao siku husika.................
 
Mwenye tabia haachi kamwe hata vijisenti vikimuishia atapata njia tu ya kuendelea kufanya upuuzi wake, kamwe siwezi kuomba riziki ipae ili eti mwenzangu atulie, zaidi angeomba Mungu mumewe abadilike au pia angejaribu kumbadili taratibu. Kwasababu akizishika tena atarudi kule kule. Sasa whats that?!

Mwanadamu huwezi kumbadili ila Mungu tu ndiye awezaye yote..............akzipata nitawajulisha kama karudia kulekule au sasa umri na uzoefu vinamwongoza kwingineko........
 
Rutashubanyuma ulikuwa wapi? ulipotea mkuu.

Dubu acha kujitetea.......................mimi at JF ninafahamika kama......................"never miss."

kwa hiyo ukisema nimepotea wote tunajua ni wewe umekuwa bubu hapa JF............
 
Huyo mama ni wa kuogopa kabisa. Hawezi kumuombea mumewe asiwe na hela, wakati hela ndio zinafanya maisha kuwa mazuri. Alitakiwa ktumia mbinu nyingine kumrekebisha. Nakumbuka kesi moja ambapo mama mmoja alienda kumshtaki mumewe kazini kwake kwamba anatoa wapi pesa nyingi namna ile kila mwisho wa mwezi (mumewe alikuwa paymaster jeshini na ni kipindi mishahara ilikuwa inalipwa dirishani), walipochunguza jamaa akafukuzwa kazi. Ingawa sipalilii wizi lakini huyu pia ni aina ya wanawake wa ovyo namna hiyo.
 
umeshauri alitakiwa atafute njia mbadala ya kumrekebisha mumewe lakini hukutoa mfano wa njia ipi.....................lakini ufahamu mwanadamu ni kiumbe cha ajabu..........mara nyingi akupendaye ndiye ukimkorofisha huamua kukuchukia sana...............na huona kheri mkose wote kulikoni akose pekee yake...
 
Huyo mama ni wa kuogopa kabisa. Hawezi kumuombea mumewe asiwe na hela, wakati hela ndio zinafanya maisha kuwa mazuri. Alitakiwa ktumia mbinu nyingine kumrekebisha. Nakumbuka kesi moja ambapo mama mmoja alienda kumshtaki mumewe kazini kwake kwamba anatoa wapi pesa nyingi namna ile kila mwisho wa mwezi (mumewe alikuwa paymaster jeshini na ni kipindi mishahara ilikuwa inalipwa dirishani), walipochunguza jamaa akafukuzwa kazi. Ingawa sipalilii wizi lakini huyu pia ni aina ya wanawake wa ovyo namna hiyo.

Siyo huyo mama tu hata mimi pia, kama hela ndio inayomtia dharau na kujiona very hata mimi ningemwombea awe masikini, tule bamia na mlenda wetu lakini heshima ipo ndani.
 
Nilimaanisha kumbadili tabia sio uumbaji!

nilikuelewa vivyo hivyo.tabia ya mwenzio iko nje ya uwezo wako...................labda matendo yako ndiyo silaha yako ya mwisho.....
 
Mwanamke gani anaye omba mme wake awe masikini, huyo mwanamke wakumpa pole nadhani hazimtoshi.

tatizo ambalo hulioni ni kuwa hakuolewa kwa ajili ya kula,..............hata kwao alikuwa anakula............kama penzi halipo huo ndiyo umasikini mkubwa kulikoni ule wa mavituzi........................
 
Siyo huyo mama tu hata mimi pia, kama hela ndio inayomtia dharau na kujiona very hata mimi ningemwombea awe masikini, tule bamia na mlenda wetu lakini heshima ipo ndani.

Tupo pamoja kwenye hili..................Madamex..............
 
tatizo ambalo hulioni ni kuwa hakuolewa kwa ajili ya kula,..............hata kwao alikuwa anakula............kama penzi halipo huo ndiyo umasikini mkubwa kulikoni ule wa mavituzi........................
Kabisa kabisa sijuwi wanawake wengine wanapenda vipi aisay, unaolewa na mwanaume humpendi hio nayo noma.

Kama anampenda amme wake asinge muombea mme wake awe masikini hata siku moja.
 
Kabisa kabisa sijuwi wanawake wengine wanapenda vipi aisay, unaolewa na mwanaume humpendi hio nayo noma.

Hiyo kitu nimejaribu nimeshindwa, hata nilipotaka kung'anganiza roho kwa ajili ya maslahi mengine lakini moyo umekataa, nikabaki najiuliza swali hilo hilo
 
Amyner umenena

Unamwombea mumeo UMASIKINI ili atulie,??????,Kweli itasaidia??? au atabadirisha tu viwanja na utaratibu???

La msingi piga magoti mwambie Mungu akurekebishie huyo mumeo awe wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom