bila umeme na maji inawezekana?

tumwe273us

Member
Aug 26, 2010
43
11
mi ni mpya kidogo humu ndani ila naomba kuuliza swali hili
Kwa mtazamo wangu naona bila maji na umeme inawezekana kwani yapata miaka mitatu bila umeme na maisha yanasonga mbele hasa sisi wa kijijini haina shida na hata maji kwetu ni poa kwani hata maji yenyewe ni ya visima na muda wa kulala ni saa 12 jioni hivyo hatuitaji umeme>hapo vp???
 
Back
Top Bottom