Bila suruali

princess enny

JF-Expert Member
May 27, 2012
1,038
379
jamaa mmoja alishuka kwenye ndege bila suruali watu wakamuuliza "vipi mzee?'
akawajibu huku amekasirika"si huyo pilot wenu ana wazimu! mara vaa mkanda mara vua mkanda
nikaamua nivue na suruali kabisa kabla hajasema''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom