Bila shaka ulizaliwa tarehe... !

Jangala;
Mimi hii puzzle yako naweza kuiita vicious circle of algorithm/arithmetics.
You are abusing watu waliofanya mathematics at higher levels. Hii ni puzzle ya kuwapa watoto wa shule ya msingi per ce. Hata "o" level haistahili kuwepo, si mahala pake!

hivi humu hamna watoto wa shule za msingi? basi wewe weka inayostahili hapa basi, tena ukitueleza unasoma kg ngapi?
hata kwenye baa kuna fanta za watoto pia, huwezi fika ukaanza kulalama hoo, mbona unauza na soda pia? mambo
hapa yanaenda randomly na sio sequentially. angalia yanayokuhusu then act,otherwise just mute.
 
haina hata maana sababu kuna sehemu unasema add ur brith ingekuwa si iwekimo afu ndo naitafuta ingekuwa na maana coz unatafuta kitu ambacho nacho unakiandika humo humo unakijua

haina maana kivipi? i am sure wewe huna exposure ya kutosha kwenye puzzle n the likes. hii inachezwa hivii... mpe yeyote karatas na kalamu
then muulize mlolongo huo hapo kwenye mada, then mwambie akutajie jibu la step ya 11, unachofanya wewe ni kukamilisha step namba 12
kwa kutoa hiyo password i.e 32940, na unapata eg 123199, ndo unamtajia tarehe na mwezi na mwaka. hivi ndivyo inavyochezwa, watu
mitaani ndo wanajifanya wanapiga ramli kumbe maths ndo wanacheza nazo ucpokuwa makini.
 
Sijakasirika,mi nacheka tu hapa,najua tatizo ni nini mpaka watu wanakuwa wakali!!

pia najua tatizo... tumezoea pauka pakawa,
jaza nafasi zilizo wazi,
andika kweli ama si kweli nk
 
Hi kweli Joke maana unajipa tabu kutafuta ki2 ambacho unakijua. Jamani ingekuwa hivyo watu wasingechukia Hesabu.

mkuu tuambie, wewe unatafutaje kitu ambacho hukijui? mfano, bila shaka ng'ongove huijui na nikikwambia
unitafutie huwezi kwani huijui, ungekuwa unaijua ungenitafutia. (ng'ongove = jogoo )
 
haina hata maana sababu kuna sehemu unasema add ur brith ingekuwa si iwekimo afu ndo naitafuta ingekuwa na maana coz unatafuta kitu ambacho nacho unakiandika humo humo unakijua
1. Hisabati ni tatizo la kitaifa2. Mkorogo wa kichina huo, unaweka jibu alafu unapata the same jibu, ABRACADABRA hiyo!
 
1. Hisabati ni tatizo la kitaifa2. Mkorogo wa kichina huo, unaweka jibu alafu unapata the same jibu, ABRACADABRA hiyo!
Ahaaa,nimegundua,yaani watu walitaka nifanye miracle ya kupanda banghi na kuvuna mchicha au sio?,input iwe umri wa mbuzi na output iwe umri wa binadamu!what i know,input=output!zaidi ya hapo duuh,that is beyond my scope!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom