Bila shaka ulizaliwa tarehe... !

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
[STEP1]>>Add 18 to your birth month. [STEP2]>>Multiply by 25. [STEP3]>>Subtract 333. [STEP4]>>Multiply by 8. [STEP5]>>Subtract 554. [STEP6]>>Divide by 2. [STEP7]>>Add your birth date. [STEP8]>>Multiply by 5. [STEP9]>>Add 692. [STEP10]>>Multiply by 20. [STEP11]>>Add only the last two digits of your birth year,e.g if it is 1988 add 88. [STEP12]>>Subtract 32940 to get your birthday!EXAMPLE:If the answer is123199,it means you were born on December 31,1999.
 
haina hata maana sababu kuna sehemu unasema add ur brith ingekuwa si iwekimo afu ndo naitafuta ingekuwa na maana coz unatafuta kitu ambacho nacho unakiandika humo humo unakijua
 
haina hata maana sababu kuna sehemu unasema add ur brith ingekuwa si iwekimo afu ndo naitafuta ingekuwa na maana coz unatafuta kitu ambacho nacho unakiandika humo humo unakijua
sawa sawa mkuu!!!
 
[step1]>>add 18 to your birth month. [step2]>>multiply by 25. [step3]>>subtract 333. [step4]>>multiply by 8. [step5]>>subtract 554. [step6]>>divide by 2. [step7]>>add your birth date. [step8]>>multiply by 5. [step9]>>add 692. [step10]>>multiply by 20. [step11]>>add only the last two digits of your birth year,e.g if it is 1988 add 88. [step12]>>subtract 32940 to get your birthday!example:if the answer is123199,it means you were born on december 31,1999.

kwa vile sipendi hesabu nimeshindwa hata kuangalia hizo formula.
Kwa heri !
 
[STEP1]>>Add 18 to your birth month. [STEP2]>>Multiply by 25. [STEP3]>>Subtract 333. [STEP4]>>Multiply by 8. [STEP5]>>Subtract 554. [STEP6]>>Divide by 2. [STEP7]>>Add your birth date. [STEP8]>>Multiply by 5. [STEP9]>>Add 692. [STEP10]>>Multiply by 20. [STEP11]>>Add only the last two digits of your birth year,e.g if it is 1988 add 88. [STEP12]>>Subtract 32940 to get your birthday!EXAMPLE:If the answer is123199,it means you were born on December 31,1999.
Jangala;
Mimi hii puzzle yako naweza kuiita vicious circle of algorithm/arithmetics.
You are abusing watu waliofanya mathematics at higher levels. Hii ni puzzle ya kuwapa watoto wa shule ya msingi per ce. Hata "o" level haistahili kuwepo, si mahala pake!
 
Nimejaribu kilichotokea n siri yangu,duh kweli BAM sikuipenda kwa dhati ya moyo wangu,sina hamu!
 
haina hata maana sababu kuna sehemu unasema add ur brith ingekuwa si iwekimo afu ndo naitafuta ingekuwa na maana coz unatafuta kitu ambacho nacho unakiandika humo humo unakijua

You are right, hesabu ni sawa lakini huwezi kutafuta kitu ambacho unakifahamu.
 
Jangala;Mimi hii puzzle yako naweza kuiita vicious circle of algorithm/arithmetics. You are abusing watu waliofanya mathematics at higher levels. Hii ni puzzle ya kuwapa watoto wa shule ya msingi per ce. Hata "o" level haistahili kuwepo, si mahala pake!
E=miss squared; Hapa sijaweka puzzle na wala sija-declare kwamba material niliyoandika ni 'pasua kichwa',ikibidi hata mwanao anaenyonya mwambie apitie ataelewa tu!
 
Hi kweli Joke maana unajipa tabu kutafuta ki2 ambacho unakijua. Jamani ingekuwa hivyo watu wasingechukia Hesabu.
 
Harooo nasemiifi, ware wote wasiochua birth date & birth month zao, wache haba warisolfu hiro rihesapu harakaaa!
 
final product yako ni itakuonesha mwezi uliozaliwa kisha tarehe na mwaka.
asante
 
Jaguar mimi nimekubali, kweli imetulia ila kila mtu anamtazamo wake usikasirike kwa wanaosaga
 
Jaguar mimi nimekubali, kweli imetulia ila kila mtu anamtazamo wake usikasirike kwa wanaosaga
Sijakasirika,mi nacheka tu hapa,najua tatizo ni nini mpaka watu wanakuwa wakali!!
 
Mi nimejaribu nimepata jibu sawa na tarehe yangu ya kuzaliwa. Ni safi kwa kuchangamsha akili, so big up achana na wanaoponda wakifikiri kwamba wao ndio kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom