Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,333
- 3,896
huyu jamaa nimefuatilia posts zake nyingi. Ni mdini (mchukia uislamu) na mchokochoko. Lakini kwa mungu si kwa mzungu, kila mtu anagombea mungu yuko upande wake.. mwe! Hatukuzaliwa na dini, do we?Mahakama ya kadhi.
Hijab (wanawake wote)
Kufunga Ramadhani (Raia wote)
Adhabu ya kupigwa mawe (wazinzi wote)
Sikukuu ya mwaka mpya wa waislamu(wote hakuna kwenda job hata kama ni mkristo)
Marufuku ya bia na baa
Marufuku ya kitimoto.
Makanisa yasijengwe kwa urefu wa kuzidi urefu wa msikiti au nyumba ya muislam
Yote hayo lazima serikali ikubali kuyaingiza kwenye katiba
otherwise, katiba mtaisikia CNN