Bila kuiba kura hawapati kitu!

atiwm 52 asiwazingue njombe safari hii kumekucha makamanda toka Tunduma & Iringa watalinda kura mwanzo mwisho, mgombe wa magamba anajutia kugombe,unajua kipindi hiki njombe wazee kwa vijana wameichoka Magamba siyo kdogo
 
Nimepita maeneo ya njombe nimekutana na wapiga campain wa ccm wakiwakimbia watu waliokuwa wakiwazomea barabarani. Kwenye mkutano maeneo ya chaugingi kulikuwa na watu kama 30,hao ni pamoja na viongozi wa wilaya,wacheza shoo na wengine waliovishwa yeboyebo. Ni kampeni za uchaguzi diwani kata ya mji mwema

Wewe umejuaje kwamba hao wazomeaji ni wapiga kura?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom