Bila kuchunika kuna ukimwi?

Actually its a very accurate statement, the chances of getting aids from normal non high risk heterosexual intercourse are highly exaggerated.

Kanga u can not get AIDS from sexual intercourse! You normally get HIV which later develops into AIDS....come up with facts huenda ukasaidia hii vita ya hili gonjwa! ur lying the audience smoothly.....
 
Kufanya NGONO bila kinga ni kujihakikishia maambukizi ya UKIMWI/VVU! Kaitaba, michubuko inayooogelewa na wataalam ni "microscopic". Chukua pilipili jipaka kwenye uume and utakuja fahamu kuwa aina ya michubuko inayoongelewa!

Au apake spirit fluid ndo asikilizie
 
Usisubiri kuchunika au kupasuka...subiri kabisa mpaka ndoa iwahalalishe!
Hapo utakuwa huru na maswali ya kizinzi yatapungua!
Ni hayo tu na samahani kama nimekukwaza!
 
Na hili swali langu mbona hamjalijibu? au ni gumu?
Na vipi kama mtu amepimwa akaonekana hana virus, lakini ameambukizwa siku chache zilizopita na virusi havijaweza kuonekana kwenye vipimo, anaweza kuambukiza wenzake?
 
Watu wengine huwa wanatumia condom vizuri tu wakipewa katika maumbile mahususi, ila wakipewa tiGO watu hao hao hawavai condom
 
Kanga u can not get AIDS from sexual intercourse! You normally get HIV which later develops into AIDS....come up with facts huenda ukasaidia hii vita ya hili gonjwa! ur lying the audience smoothly.....

I meant HIV. Chances of transmission are low.

"A study published in 1994 in The New England Journal of Medicine looked at 256 heterosexual mixed status couples. Of the 124 couples that consistently used condoms, none of the HIV-negative partners were infected. Among the 121 couples that did not consistently use condoms, 12 (about 10 percent) of the HIV-negative partners became infected. Additional studies found similar results."

Only 10% percent, this is in couples in which one partner already has HIV.

But, it is believed that in the vast majority of cases, repeated exposure to the virus through multiple acts of intercourse is necessary for transmission to take place."
So again idea ya "tendo moja" is mostly a scare tactic.

The actual chance of becoming infected with HIV during a single sexual experience - even with a partner who is known to be HIV-positive - is rather low: one study put the chance for a woman becoming infected by an HIV-positive male through vaginal sex at 1 in 1000.

1 in 1000 for a woman, so even lower for men, I believe its 1 in 5000 but I cant find the numbers right now.

You can find more info here: http://www.goaskalice.columbia.edu/2339.html
 
Asilimia kubwa ni kupitia ngono na hasa pale unapochubuka au kuchunika katika ile kazi kwani damu nyingi ujaa kwenye uume na kuwa kama balloon hivyo likitoboka kidogo tu damu inatoka. Ndio maana kuna utafiti una matokeo kuwa waliotairiwa wana uwezekano wa kukwepa HIV kwa sababu ngozi ya kuchwa inakuwa ngumu kidogo na lili limfuko lina mishipa mingi midogomidogo ya damu huwa limeondolewa. Pia kwenye maandalizi ya ngono kuna mambo kama tongue kiss hakikisha hamna michubuko, pia kupima 'oil' hakikisha dip stick haina michubuko!
 
Mada tamu hii, wachangiaji wanaotetea bila michubuko hupati ukimwi hao wana lao jambo....... kifupi kuna michubuko ambayo wewe huwezi kuiona hata kabla ya tendo la ndoa. Mkuu ukipiga bea bao la kwanza 60% unaweza pata. bao la pili 80% unaweza pata, toka la tatu na kuendelea ni 100% lazima uukwae. kazi kwako.
 
Nakubaliana na wewe 50%. Lakini kinachonistua ni hiyo MPENZI?Kwa nini usiseme MKE/MUME Mmoja ambaye hajaambukizwa?

Hivi mpenzi hawezi kuwa mwaminifu mpaka ageuke kuwa MKE/MUME kwanza?
Sasa naelewa ni kwa nini mambo kama yale ya Kiboriloni yanatokea na kuendelea kutokea.
 
Michuniko huwa ipo na silazima uione kwa macho ya kawaida! kitendo cha kufanya ngono bila kinga na kukutana na body fluids za ukeni kama partner ni muathirika uwekezakano wa kupata ambukizo ni mkubwa hasa kama hakukuwa na foreplay za kutosha kumuandaa mwanzako. Mipasuko na michuniko ipo midogo midogo ambayo hutokea hata unapoejaculate, katika hali ya kawaida huwa haionekani. Pima afya yako baada ya miezi sita na siku nyingine tumia kinga.

Mkuu Masa nimeona nichangie hapo maana UKIMWI ni janga letu sote. Ningekuwa mimi hiyo niliyobold nisingeiweka. Foreplay haiguarantee safe sex hata kidogo. Kuna watu by nature never release pre-cum or vagi*al discharge regarless of how they prepare each other.

The only safe way to avoind/minimize HIV Infection possibility is a proper use of condom or have a HIV test three times in a span of 3 months before uncondomised sex to prove that both of you are Negative.
 
Na vipi kama mtu amepimwa akaonekana hana virus, lakini ameambukizwa siku chache zilizopita na virusi havijaweza kuonekana kwenye vipimo, anaweza kuambukiza wenzake?

Kaitaba;

Njia pekee ya kutambua kama mtu ameambukizwa au la ni kwa kipimo kuonesha (Positive/Negative). Kipimo kitaonesha positive tu kama mwili umeisha anza kurespond uwepo wa HIV kwa kutengeneza antibodies za HIV.

Kuna kitu kinaitwa Window period is the time from infection until a test can detect any change. The average window period with HIV-1 antibody tests is 22 days for subtype B. Antigen testing cuts the window period to approximately 16 days and NAT (Nucleic Acid Testing) further reduces this period to 12 days.

Kwa uhakika zaidi na unreliability of our Tanzanian hospitals' equipment it is safe to have at least 90 days to be 99.9% confidence about your HIV status.

Swali lako je kama virusi vimeingia jana leo unaweza kuvisambaza, it is very hard to commend on anything kuhusu unsafe sex kwani huwezi kujua ni yupi had HIV infection yesterday and who last month. At all time the risk of having unsafe sex with anybody whose HIV status unknown to you for the last three months is very high.
 
kawaida ya kondomu ni kuzuia usipate ukimwi, inakuzuia kwa kukukinga na michubuko iwapo itatokea usipate ukimwi, Swali ni, je! kama sijatumia kondomu lakini sikuchunika naweza kupata ukimwi?,

Huwezi kujua kila mara kama umechunika au la kwa sababu si kila mchuniko huonekana kwa macho. Na pia si lazima virusi uvipate kupitia mchubuko wa ngozi. Maji maji ya ukeni pia yanaweza kuingia mwilini kwa kupitia urethra.
 
kwani majimaji ya ukeni au damu ndio vinasababisha ukimwi naomba msaada mkuu na mwanamke na mwanaume yupi anahatari ya kuambukizwa zaidi ni kimanisha mfano mwanamke kaathirika mwanaume mzima yupi yupo kwenye hatari ya maabukizi zaidi
 
Virusi vya ukimwi vinaishi kwenye damu, manii, na yale majimaji ya ukeni. Na kwa mintarafu ya nani kati ya mwanamke na mwanaume mwenye hatari zaidi kuambukizwa, ni mwanamke ndio mwenye hatari zaidi. Chukulia kwa mfano mwanaume mwenye kumwaga haraka, tuseme akishaingiza tu uume wake anapiga nje ndani kama mara tatu au nne hivi halafu huyo anamwaga. Nje ndani mara tatu au nne haichukui muda mrefu...takriban tuseme dakika moja au hata chini ya hapo. Kwa vile VVU vinaishi pia kwenye manii, itakuwa rahisi sana kwa mwanamme kumwambukiza mwanamke kama mwanamme huyo anavyo hivyo virusi. Sasa tuseme mwanamke ndio awe na hivyo virusi halafu anamegwa na mwanamme ambaye anamwaga haraka, itakuwa vigumu (sisemi haiwezekani) kwa mwanamme kuambukizwa kwa sababu atakuwa hajatumia muda mwingi ndani ya uke

Kwa upande mwingine mwanamme ambaye anatumia muda mrefu kumwaga, huyu ndiyo mwenye hatari zaidi ya kuambukizwa hivyo virusi kwa sababu kama umewahi kumega kwa muda mrefu utagundua kuwa uke wa mwanamke huwaga unakauka ule unyevunyevu wake. Ukavu huo husababisha michubuko kwa wote wawili. Tena mara nyingi ukimmega demu hadi uke wake ukikauka kesho yake akienda msalani kujisaidia haja ndogo anakuwa anasikia maumivu ya kuungua (burning sensation).

Natumaini nimejibu swali lako kikamilifu.
 
  • Thanks
Reactions: Atn
Asilimia kubwa ni kupitia ngono na hasa pale unapochubuka au kuchunika katika ile kazi kwani damu nyingi ujaa kwenye uume na kuwa kama balloon hivyo likitoboka kidogo tu damu inatoka. Ndio maana kuna utafiti una matokeo kuwa waliotairiwa wana uwezekano wa kukwepa HIV kwa sababu ngozi ya kuchwa inakuwa ngumu kidogo na lili limfuko lina mishipa mingi midogomidogo ya damu huwa limeondolewa. Pia kwenye maandalizi ya ngono kuna mambo kama tongue kiss hakikisha hamna michubuko, pia kupima 'oil' hakikisha dip stick haina michubuko!

hapo nilipo-bold kuna kaneno lakini watu huwa hatutaki kuzungumzia
kabsaaa
 
Back
Top Bottom