bila kipato tabuuuu!

tunyi

Member
Jan 24, 2012
15
2
nina bsc. agriculture general (SUA 2006) na masters in intellectual property (Africa University,zimbabwe 2010) nimeomba kazi wizara ya kilimo na kwingine kila nafasi zikitoka sijabahatika kupata. wakuu yeyote anayeweza kunisaidia angalau nami nipate kipato ikiwezekana baada ya mda nami nijiari anisaidie pls. nipo dar es salaam. nawakilisha wana jf.
 
kwanini mnapenda kukaa Dar lakini? Njoo Geita tulime mananasi...mtaji ninao,wewe utachangia utaalam.
 
Tafuta shamba. Andika apraisal ya zao linalo weza kushamiri eneo la shamba na waone CRDB au NMB wakupe mkopo mwenza na uanze kulima. Una Bsc Agriculture for gods sake. Unatakiwa ulime kilimo cha kisasa cha uhakika na ardhi tunayo TZ. Lastly DOOD LUCK.
 
good idea! ila huko geita lazima uwe na nauli, sehem ya kufikia nk. nimezaliwa na kulelewa dar inakuwa ngumu kwenda na kuishi mkoa mwingine bila pesa kidogo mkononi hata kama nina utalaam.
 
sina capital mkuu, huwezi kupata mkopo popote kwa kuwaonyesha vyeti ili kuwezeshwa kununua\kukodi hilo shamba kisha kutafuta input na kuanza production. NI RAHISI KUSEMA ndugu!
 
Hii masters in intellectual property umesoma ya nini? ninakushauri tumia cheti cha degree ya kwanza tuu kuombea kazi na pia tafuta kazi za kujitolea ili upate uzoefu. Peleka CV yako bank uombe hta bank teller au customer care watakupa then baadaye watakuweka kwenye microfinance au saccos zao...usikate tamaa ndugu na pia usipende kuishi dar kama kweli umesoma agriculture
 
Asante sana kwa ushauri wako mkuu.
 
Back
Top Bottom