Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

kidumu kwa lipi? Kwa (1) wizi, (2) ufisadi, (3) gilba, (4) uuzaji na utumiaji cocaine na mirungi au kwa lipi. FAFANUA, TANUA. NA UKITANUA, NTAKUINGIZA MOTO WA HOJA ZILIZOSIMAMA...
 
Kidumu kwa lipi? Kwa (1) wizi, (2) ufisadi, (3) gilba, (4) uuzaji na utumiaji cocaine na mirungi, (5) NGONO ZEMBE au kwa lipi. FAFANUA, TANUA. NA UKITANUA, NTAKUINGIZA MOTO WA HOJA ZILIZOSIMAMA...
 
kwa wenzetu wa cdm,
pamoja na kutufunga magoli yasiyo na utata huko arumeru, tutajifua kea dhati na mwaka 2015 tutawapiga vyenga hadi muache siasa.
kidumu chama cha mainduzi
(pls no matusi)

kigumuuuuuuuuuuu........................................!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thanks M-mbabe,mimi ni mnazi tu wa CCM katokana na historia yangu. Sipendezwi na mengi ndani ya CCM lakini zamani falsafa ya chama ni moto wa kuotea mbali.

Mi si kiongozi wala sigombei popote,lakini fuatilia kwa makini falsafa,sera na itikadi ya CCM Leo na utagundua kuwa hata msemo wa Kidumu chama cha Mapinduzi ni wa zamani sana na si dole Tupu la miaka ya karibuni.

Chombo kikienda mrama huzamishi chombo, unabadilisha muelekeo sawa Sawa na upepo unao vuma.
Hili ndio Somo CCM inbidi izingatie

Wewe kweli zuzu, hatuzungumzii histoia hapa!!! Hata kama walifanya mazuri zamani haimaanishi kwa waendelee kuwapo sasa hata kama wanaharibu au wanashindwa kutupeleka kule tunakotaka. Hata hivyo, falsafa za CCM hazijawahi kuwa kitu cha kujivunia nchi hii, si zamani wala si sasa unless unataka kusema machache mazuri waliyoyafanya. Vilevile, hayo mazuri ni wao hao hao wameyaharibu!! Sasa sijui unataka kusifia nini hapa. Kuhusu hiyo Falsalfa ya kidumu chama cha Mapinduzi wameiacha kwa vile ilikuwa ni propaganda na imepitwa na wakati. Wameiacha kama walivyoiacha ya "Zidumu Fikra za Mwenyekiti" au ile ya JK ya " ARI MPYA, NGUVU MPYA.........."

KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!
 
Kidumu!
Inawezekana kuwa kweli mimi ni zuzu,lakini nina uhakika na kitu kimoja-mimi ni mcoconut/mnazi wa CCM!
Usipojua umetoka wapi basi nina uhakika hujui unakoelekea.

Kwa uhakika falsafa yenyewe sidhani kama unaijua sembuse kuielewa.
Kama ungrkuwa unaijua na kuielewa basi ungrlinganisha na falsafa unauoifahamu wewe,
Bado hazijatokea falsafa zinazoweza kumuinua mtanzania kwa heshima na utu kama SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA.
 
Kidumu kwa lipi? Kwa (1) wizi, (2) ufisadi, (3) gilba, (4) uuzaji na utumiaji cocaine na mirungi, (5) NGONO ZEMBE au kwa lipi. FAFANUA, TANUA. NA UKITANUA, NTAKUINGIZA MOTO WA HOJA ZILIZOSIMAMA...
Fuatilia kwa makini, Pointi zote ulizotoa hapo utazikuta kwenye chama chako.
 
Mtindo huu umeibuka sasa kila mtu utasikia eti CCM inaelekea kaburini, wnegine mpaka wanatengeneza majeneza, sasa mimi huwa najiuliza kwa nini CCM ife wakati bado inahitajika? Je bila CCM mathubuti nchi itakuwa na amani? je wewe unayetaka CCM ife nyumbani kwako kuna amani? je kama umeoa au kuolewa una mpenda kweli mmeo au mkeo? Maana nafahamu nchi yetu bila CCM mathubuti itayumba.

Suala langu ni mwisho mbaya wa hizi kauli za kutaka CCM kufa. "Kama leo tunatamka na kutaka CCM ife maana yake siku moja tutatamka wanachama wa CCM wafe"

Kidumu chama cha mapinduzi!
 
Hizi bangi za kuvuta usiku usiku sio nzuri hebu jaribu kuvuta mchana
Mtindo huu umeibuka sasa kila mtu utasikia eti CCM inaelekea kaburini, wnegine mpaka wanatengeneza majeneza, sasa mimi huwa najiuliza kwa nini CCM ife wakati bado inahitajika? Je bila CCM mathubuti nchi itakuwa na amani? je wewe unayetaka CCM ife nyumbani kwako kuna amani? je kama umeoa au kuolewa una mpenda kweli mmeo au mkeo? Maana nafahamu nchi yetu bila CCM mathubuti itayumba.
Kidumu chama cha mapinduzi!
 
Mtindo huu umeibuka sasa kila mtu utasikia eti CCM inaelekea kaburini, wnegine mpaka wanatengeneza majeneza, sasa mimi huwa najiuliza kwa nini CCM ife wakati bado inahitajika? Je bila CCM mathubuti nchi itakuwa na amani? je wewe unayetaka CCM ife nyumbani kwako kuna amani? je kama umeoa au kuolewa una mpenda kweli mmeo au mkeo? Maana nafahamu nchi yetu bila CCM mathubuti itayumba.
Kidumu chama cha mapinduzi!

pole na uchovu mkuu, vipi leo umekuta wakwe hawajapika nini?!
 
Mamii, jaribu ku define maana ya neno 'amani'. Naona kama hiyo sisiemu yako inatumia neno hili kama propaganda machinery.
 
si lazima ife, na wala hatutakii kufa, ili kama Chadema miaka yao mitano ya kwanza 2015 to 2020 kama sio makini basi wananchi wanaweza kurudisha ccm tena au chama kingine chochote.
 
Mleta mada anakufuru sana pia anatakiwa ajihadhari kwani kuipinga CHADEMA ni kumpinga Mungu kwani CDM inasimamia haki na usafi wa uongozi kama jinsi Mungu alivyoagiza kwani haiwezekani kuipenda ccm inayofanya mambo kinyume na Mungu kama vile wizi wa twiga.
 
Back
Top Bottom