Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

Hiki chama kiendelee kuongoza nchi, kidumu, kizidi kuleta neema na amani kwa watanzania. chama kinapendwa mno hiki. ee mungu uliye hai kilinde dhidi ya wenye husuda na wanaokiombea mabaya hususan chadema na uwasamehe makosa yao kwani hawajui walitendalo. aaimen!!!!!!!
Sala yako itajibiwa na mungu wenu freemason, mnywa damu za watu kama mnazokunywa nyinyi. Mungu wa kweli awalaani
 
Hiki chama kiendelee kuongoza nchi, kidumu, kizidi kuleta neema na amani kwa watanzania. chama kinapendwa mno hiki. ee mungu uliye hai kilinde dhidi ya wenye husuda na wanaokiombea mabaya hususan chadema na uwasamehe makosa yao kwani hawajui walitendalo. aaimen!!!!!!!

Unaita watu wengine wanyonge huku wewe ukijineemesha na Vipusa na u-kahaba wa kunajisi rasilimali za watu hao hao unaowaita wanyonge!!
 
Katika kila jambo kuna majira na nyakati,kwa upande wa siasa na haswa za upinzani hapa tanzania yalikuwepo majira na nyakati za nccr mageuzi,yakapita,yakaja majira ya cuf na ngangari nayo yakapita, kuanzia 2010 na haswahaswa 2009 ikawa chadema na people's power, kwa kweli bila unafiki hawa jamaa wamewafungua akili sana watanzania na hata kuwa na uthubutu wa kuweza kuhoji mambo mbalimbali yanayowagusa, sasa hivi pita mashuleni, vyuo vikuu, maofisini, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kote huko watu wana hoji mambo mbalimbali ya nchi jinsi yasivyoenda sawasawa na katikati ya mazungumzo hayo hukosi kusikia chadema au majina ya wawakilishi wao bungeni.

Mfano mzuri ni hili jalamba walilolifanya hivi karibuni nchi nzima kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye bvr sasa hivi kila kona ya nchi watu wamehamasika mno kujiandikisha watu waamka saa 7 usiku kupanga foleni.
 
Edit hapo kwenye neon MUNGU iwe herufi kubwa chadema na vyama vingine kama CUF NCCR wamefanya kazi kubwa sana tunaona matunda japo wananchi sasa wamejitambua
 
kwa niaba ya familia yangu ya Tandika mwembeyanga nakushukuru sana kwa kutambua mchango wa cdm katika siasa za nchi hii , labda kwa kukudokeza tu ni kwamba haikuwa rahisi kufika hapo , cdm imetumia jasho , nguvu , pesa na hata damu imewatoka hadi kufikia mafanikio hayo .
 
kwa niaba ya familia yangu ya Tandika mwembeyanga nakushukuru sana kwa kutambua mchango wa cdm katika siasa za nchi hii , labda kwa kukudokeza tu ni kwamba haikuwa rahisi kufika hapo , cdm imetumia jasho , nguvu , pesa na hata damu imewatoka hadi kufikia mafanikio hayo .
Naona kamanda umelewa sifa za kubuni tu ambazo hazistahili kupelekwa kwa hicho chama. Hivi mmeshasahau historia ya vyama vya upinzani tayari !! Chadema chama kimekuja juzi tu. Wapo waasisi ambao wanatambulika na ambao walijitahidi kwa wakati wao. Na wengine wametangulia mbele ya haki. Yani kama ni shule chadema ni mwanafunzi kwa sababu bado hawajulikani wala kujitambua wanatoka wapi na wanakwenda wapi.walau hata Lipumba akiongea tunaweza kumsikiliza kwa hili lakini sio sijui Mbowe, sijui Slaa.
 
ccm itaongoza tena miaka 50 ijayo,ikimpitisha mgombea anaekubalika kwa uchapa kazi
 
Naona kamanda umelewa sifa za kubuni tu ambazo hazistahili kupelekwa kwa hicho chama. Hivi mmeshasahau historia ya vyama vya upinzani tayari !! Chadema chama kimekuja juzi tu. Wapo waasisi ambaos wanatambulika na ambao walijitahidi kwa wakati wao. Na wengine wametangulia mbele ya haki. Yani kama ni shule chadema ni mwanafunzi kwa sababu bado hawajulikani wala kujitambua wanatoka wapi na wanakwenda wapi.walau hata Lipumba akiongea tunaweza kumsikiliza kwa hili lakini sio sijui Mbowe, sijui Slaa.
kwani mfumo wa vyama vingi Tanzania umeanza lini na cdm ilisajiliwa lini ? tuanzie hapo kwanza .
 
Ni wazi na imeendelea kudhihirika kuwa upinzani wa Tanzania umeyumba. Wamepoteana wamechanganyikiwa.

Ni vyema na muhimu kwa sasa Kama taifa tuone umuhimu wa kupatikana upinzani wa dhati. Hawa akina Ole Medeye na wenzake waliohamia UDP wanaweza ku sound valid. Chadema imezama..CUF hoi...ACT zii...jamani NCCR wee!!!!
 
Kwa mawazo yako ya usingizini huyo ole medeye ni nani katika CDM huyo ni msaka tonge tu alifikiri ni mteremko kama ccm hakuna kitu kama hicho hao ndiyo wamepoteana siyo CDM
 
Back
Top Bottom