Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

Nadhan wadau weng hayo maneno si mageni kwenu,aliyatamka mwalim Nyerere wakat aking'atuka,na hata tukifuatilia vikao vya CC na NEC ya CCM huko Dodoma tunaona kuna bango lina maneno hayo.Nyerere aliyasema hayo akiamin kuwa chama chake kina viongoz makini na kinaandaa viongozi makini,lakini mimi napata mashaka kwa yatokeayo leo.
Kwa mtazam0 wangu naamin TANZANIA yetu inayumba,tena inayumbishwa na haohao wana'CCM hasa wale wa CC na NEC,
jaman Tanzania yetu haiwez kwenda bila CCM?
 
mathubuti. Neno la kiswahl kwenye kamuc ya tuki lenye maana imara iciyoyumba wala kuyumbshwa.sa hawa jamaa wameanza kuyumba tangu mambo ya ubnafcshaji yaanze na kina wazr kigoda na kuruhusu exproitatn of resources ambazo JK wa ukwel alisema tusubir mpk tuwe na uwezo
 
Unajua CCM kama Chama binafsi sina Tatizo nacho, Tatizo ni viongozi wake. Fuatilia sera na malengo ya chama utaamini haya niyasemayo.
 
''akili zao zinafanana!!! magamba ndivyo walivyo''! nimenukuu sikumbuki ni wapi!
 
maneno hayo yanatumika kisanii kama ilivyotumika kaulimbiu ya ari mpya nguvu mpya na kasi mpya, vijana na wanawake watawezeshwa n.k ktk kampeni za 2005.huhitaji PhD kung'amua kwamba kwa mazingira ya CCM hii,kauli hiyo haina mashiko.
 
Sidhani kama nitakuwa nimekosea nikisema ccm imekaa shaghala bagala pia na mambo yake yamekaa hivyo hivyo shagala bagala. tz bila ccm inawezekana kijana wa kitz chukua hatua kuinusuru tz yetu
 
Ndugu zangu Wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi na Wanachama wote wa CCM.
CCM Hoyee!
Huu ni mwaliko wa kuhudhuria na kushiriki kikamilifu katika sherehe kabambe iliyoandaliwa na viongozi wote wa Mashina, wakishirikiana na viongozi wa Tawi, pamoja na wanachama na wa-Tanzania waishio Northampton.
Sherehe zitafunguliwa na mgeni rasmi Mhe. Martha Mlata (Mb) mnamo saa 8 (nane) mchana siku njema ya Jumamosi, tarehe 03/Dec/2011

Kutakuwa na Chakula, Vinywaji baridi na moto, pamoja na burudani mbalimbali kutoka ndani na nje ya Northaampton.Shereha iafungwa kwa Muziki mzito wa Disco likiendeshwa na Ma-DJ maarufu wa UK.
Unaombwa uwakaribishe hata wasio wana-CCM alimradi ni wapenda Uhuru, Haki na Maendeleo ya Tanzania na Afrika kwa Ujumla.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na viongozi wa CCM ama wanakamati ya maandalizi Mhe. L.Mdegela (0754513515), Mhe.Gobos (07818837572), au Mhe. Sukwa (07807904716)

CCM inasonga mbela kwa ARI ZAIDI, NGUVU ZAUDI NA KASI ZAIDI

M. KATEGA
 
Kuna kaja gani kusherehekea siku yako ya kuzaliwa wakati aliyekuzaa kafariki?
 
Unaumwa tumbo?kaharishe kwanza labda itatulia,ikishindikana jamba kwa nguvu maumivu yatapungua.mia
 
Kutakuwa na Chakula, Vinywaji baridi na moto, pamoja na burudani mbalimbali kutoka ndani na nje ya Northaampton.Shereha iafungwa kwa Muziki mzito wa Disco likiendeshwa na Ma-DJ maarufu wa UK.



KUMBE MNA NJAA KALI NAMNA HIYO,MNAPENDA MTEREMKOO!!!!!!!!:nerd:
 
Ni vizuri tumefahamu kuwa (Miham)? Solar Supplies ni ya chama chetu cha ccm.
 
Back
Top Bottom