Bikra yake imechukuliwa na doctor

hii mada imerudiwa tena mara ya pili ila wanaoileta ni watu wawili tofauti...........sihangaiki kutoa ushauri hapa
 
Kwanza ni muhimu utafautishe ubikra (Virginity) na bikra yenyewe (Hymen).
Hymen inaweza kutoka kwa sababu nyingi sana ikiwemo hiyo ya kuchunguzwa na daktari, kama alikuwa anaumwa sehemu za uterus, daktari anaweza kutumia vifaa ambavyo vinaingizwa kwenye njia za uzazi hivyo hymen lazima itavunjika. Kuna sababu nyigi zengine zinaweza kuvunja hymen.

Pili hiyo hymen wewe ingekusaidia nini? Sana sana ingebidi uhangaike nayo na tendo la ndoa sio rahisi liwe na raha kwake siku ya kuvunja hymen. So ni vizuri umshukuru daktari kwa kukupunguzia matatizo!
 
nashukuru! To be honest ww ni m2 mzima na umenielewa na kunisaidia 'asante!
 
huwa nawaogopa sana mademu walokole/wakimya. Huwa wanamegwa kimyakimya na jamaa anasepa kimya kimya. Wabaaya hao kwa mambo yetu yale!

yaani wapole haoooo lakini wakute kunako mahaba had mate yatakukauka mdomoni.bora mcharuko.
 
Mkuu pole...umeingizwa choo cha kike....unanunuaje mbuzi kwenye gunia unambeba mpaka nyumbani? halafu unamlaumu muuzaji badala ya kujilaumu mwenyewe kwa kutokuwa makini wakati mnafanya biashara...piga moyo konde endelea nae taratibu utagundua mengi...usishangae siku anakuonyesha maujuzi(fujo) ya hali ya juu....atakuambia Dr. alimfundisha ile siku alipoenda kutibiwa
 
Wajinga ndio waliwao kaka...........hee umedanganywa eti docta.......muongo huyo kakuibia muda.
mboni kazi.
 
Mkuu pole...umeingizwa choo cha kike....unanunuaje mbuzi kwenye gunia unambeba mpaka nyumbani? halafu unamlaumu muuzaji badala ya kujilaumu mwenyewe kwa kutokuwa makini wakati mnafanya biashara...piga moyo konde endelea nae taratibu utagundua mengi...usishangae siku anakuonyesha maujuzi(fujo) ya hali ya juu....atakuambia Dr. alimfundisha ile siku alipoenda kutibiwa
acha bana!
 
kaka dawa ya penzi ulikumbuka??
maana inaonyesha ulimuamini ile mbaya.
 
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo nimvumilie mpaka tuhitim chuo, nlimpenda sana kwan alkuwa mpenda dini,tabia nzuri na kiukwel sikuwah kumpa hata sh,1 zaidi yeye ndo alnisaidia kwan kwao mambo safi.

Tumeitimu chuo mwaka huu ghafla alianza kuumwa sana tumbo akawa hapat cku zake, alikonda sana niliingiwa na hofu kubwa lkn nilienda nae hosp nakupata huduma baadae alipona kabisa nami nikaona nikumbushie ile ishu(ahadi) alisumbua sana baadaye alinipa mzigo lkn nimekuta hana bikira nlipomuuliza alinijib labda doctor ndo alitoa eti aliingiziwa vitu sirini, jaman nimevumilia miaka saba sijapata nilichotaka je kuna umuhim wa kuwa naye?
kwa kifupi huyo alishaanza kupulizwa kabla tena sana tu........kwa hizo dalili ulizosema za ugonjwa ni magonjwa 2
1.mimba iliyotoka bila kwisha au
2.PID-maambokizi ya zinaa ya viungo vya ndani vya uzazi vinavyokaa kwny nyonga.
 
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo nimvumilie mpaka tuhitim chuo, nlimpenda sana kwan alkuwa mpenda dini,tabia nzuri na kiukwel sikuwah kumpa hata sh,1 zaidi yeye ndo alnisaidia kwan kwao mambo safi.

Tumeitimu chuo mwaka huu ghafla alianza kuumwa sana tumbo akawa hapat cku zake, alikonda sana niliingiwa na hofu kubwa lkn nilienda nae hosp nakupata huduma baadae alipona kabisa nami nikaona nikumbushie ile ishu(ahadi) alisumbua sana baadaye alinipa mzigo lkn nimekuta hana bikira nlipomuuliza alinijib labda doctor ndo alitoa eti aliingiziwa vitu sirini, jaman nimevumilia miaka saba sijapata nilichotaka je kuna umuhim wa kuwa naye?

Kuondoa Bikra siyo mchezo Mkuu. Shukuru wanaume wamekusaidia. Hakuna cha doctor wala nesi, huyo mtoto mjanja sana.
 
wanaume jamani tunadanganywa sana . Nina rafiki angu anasoma chuo kikuu nchi ya nchi alikuja summer mwezi uliopita akaja kwangu akaniomba nimsindikize shule moja ya wasichana ambayo ni boarding tulipofika tukamkuta mpenzi wake sehemu (walitoroka shule) baada ya hapo jamaa akawa ananisimulia habari za yule dada kuwa anamchumba wake na wameahidiana kuoana na jamaa anajua kuwa mchumba wake ni bikira ukweli jamaa siku ile almmega kwa uthibitisho dada anamponda jamaa yake balaa. Siku ile jamaa angu akampigia cm mchumba wa dem wake na kuongea naye na kusema kweli yule ni mchumba ake na ni bikira na wameshatambulisha kwa wazazi. Kumbe wenzie huku wanamega yeye anasubiri bikira siku akimpata atakuta handaki.
 
Bikra kitu gani? Kama unampenda muoe tu awe wako milele na sio kumegamega.
 
wanaume jamani tunadanganywa sana . Nina rafiki angu anasoma chuo kikuu nchi ya nchi alikuja summer mwezi uliopita akaja kwangu akaniomba nimsindikize shule moja ya wasichana ambayo ni boarding tulipofika tukamkuta mpenzi wake sehemu (walitoroka shule) baada ya hapo jamaa akawa ananisimulia habari za yule dada kuwa anamchumba wake na wameahidiana kuoana na jamaa anajua kuwa mchumba wake ni bikira ukweli jamaa siku ile almmega kwa uthibitisho dada anamponda jamaa yake balaa. Siku ile jamaa angu akampigia cm mchumba wa dem wake na kuongea naye na kusema kweli yule ni mchumba ake na ni bikira na wameshatambulisha kwa wazazi. Kumbe wenzie huku wanamega yeye anasubiri bikira siku akimpata atakuta handaki.

Handaki tuu? nahisi zaidi ya handaki yaani atakuwa anaogelea tu
 
Back
Top Bottom