FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
Akili zingine bwana hata mtoto wa kindagateni hawezi kufikilia hivyo..
Ulijuaje?
nami naungana na wengine kumpongeza dada huyo,kama kuna kitu cha thamani kwa mwanamke kumpatia mmewe siku wakioana ni hicho,ni ishara ya utulivu,uaminifu,mtu asiyefuata fuata upepo kama wengi mabinti wanajiingiza kwenye mambo hayo waonekane nao wamo.pia hatasumbuka wakati wa tendo la ndoa kujaribu kumlazimisha mmewe kufanya kitu ambacho alifanyiwa na mijibaba mengine hata kama hawezi kufanya kama wengine.
Are you serious bro?
Bikra bado zipo dunia hii?
Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika umri huo wa miaka 30,kwani anajisikia aibu kubwa kuwa bikira katika umri huo.
Hivyo alichopanga kufanya kabla ya siku ya harusi ni kwenda clinic au kitui chochote cha afya kutoa bikira hiyo.
SWALI: Je ungepewa nafasi ya
kumshauri, ungemshauri aendelee na huo mpango wake au ungempa
ushauri gani?
Je wewe kama mwanaume,ungekuwa ndiyo huyo mume mtarajiwa na siku hiyo ukakuta bibi harusi ni bikira katika umri huo wa miaka 30 ungeipokeaje hali hiyo?
Ni kisa cha kweli.