Bikira miaka 30

kwanza hata bible inasema heli wenye bikra kwa maana hao watamuona Mungu live bila chenga kwa sababu siyo najisi alafu kitu kingine uenda naye uwelewa wake wa kufikilia mambo ukawa mdogo sana kama anashindwa tambua kuwa bikra ni adimu sana siku hizi na ukitokea unayo ni furaha hata kwa yule mume anayetarajia kukuoa na aka ka inchi ka hapa jiran kwa mswati yeye angeolewa na mfalme ushauri wangu naomba mume wake mtarajiwa aikute hiyo bikra na tena ije imsumbue sana mume wake kuitoa na akibahatika kuitoa na damu zichafue kidanda na mashuka
 
kwanza hata bible inasema heli wenye bikra kwa maana hao watamuona Mungu live bila chenga kwa sababu siyo najisi alafu kitu kingine uenda naye uwelewa wake wa kufikilia mambo ukawa mdogo sana kama anashindwa tambua
kuwa bikra ni adimu sana siku hizi na
ukitokea unayo ni furaha hata kwa yule mume
anayetarajia kukuoa na aka ka inchi ka hapa
jiran kwa mswati yeye angeolewa na mfalme
ushauri wangu naomba mume wake
mtarajiwa aikute hiyo bikra na tena ije
imsumbue sana mume wake kuitoa na
akibahatika kuitoa na damu zichafue kidanda
na mashuka

Ha ha ha ili isitoke kichwani mwa mumewe daima.
 
Dah! Yaani kweli tumefika mahali ambapo mwanamke ama mwanaume kuolewa na bikira ni kitu cha fedheha?! Maadili yameenda wapi? Kweli? Soon tutaambiwa ni fedheha kwa mwanamke ama mwanaume kutokua na nyumba ndogo! Aisee! Soon itakua fedheha kutokuzaa nje ya ndoa hata kwa wanawake,manake niliwahi kushawishiwa eti kama kikivunjwa chungu ama kukiwa na laana ya ukoo,basi kama mwanamama kachakachua walau kuna ambao hawataathirika!
I won't be surprised Mungu akikiri wanadamu tumemshinda!

dada king'asti hujiulizi huyo mleta mada kajuaje yote hayo? .................tena ya mtu asiyemhusu na hata kabla mhusika mwenyewe (mchumba wake) hajajua??............hiyo ni story ya kutunga tu na wala isikuumize kichwa...................... but usishangae sana mambo ya kijinga ya wabongo............... mi nina ka experience kadogo ka bongo na majuu............. bongo ndo umalaya unaonekana kuwa fasheni............ majuu bikira nyingi sana wala asikudanganye mtu................ tena watu ni mabikira mpaka level za masters and beyond and they are happy.................... tofauti ni kuwa majuu watu wako wazi kabisa kuhusu masuala haya, kama ni bikira anakuambia wazi kabisa wala hajifichifichi eti akaitoe kliniki!!................ na kama si bikira vilevile anakuambia wazi kabisa hata kama ni tigo (ashakum si matusi).................
 
wala hasiumize kichwa,bikra itamuongezea pendo kutoka kwa mumewe na pia itakuwa bonge la suprise aseee siku hyo,i wish ningekuwa mm ndo bwana harusi
 
Mwambie asiitoe maana yangu ina miaka 55 lakini bado nadunda nayo na sina wasiwasi ijekuwa huyo miaka 30!!
Yako labda ya kichina iyo au imejirudisha baada ya kufikia menopose na kuwa sexualy inactive kwa muda mrefu!
 
dada king'asti hujiulizi huyo mleta mada kajuaje yote hayo? .................tena ya mtu asiyemhusu na hata kabla mhusika mwenyewe (mchumba wake) hajajua??............hiyo ni story ya kutunga tu na wala isikuumize kichwa...................... but
usishangae sana mambo ya kijinga ya






wabongo............... mi nina ka experience
kadogo ka bongo na majuu............. bongo ndo



umalaya unaonekana kuwa fasheni............
majuu bikira nyingi sana wala asikudanganye
mtu................ tena watu ni mabikira mpaka
level za masters and beyond and they are
happy.................... tofauti ni kuwa majuu watu
wako wazi kabisa kuhusu masuala haya, kama
ni bikira anakuambia wazi kabisa wala
hajifichifichi eti akaitoe kliniki!!................ na
kama si bikira vilevile anakuambia wazi kabisa

hata kama ni tigo (ashakum si
matusi).................

Ndugu naheshimu mchango na mawazo yako,
ila naona umetoa hukumu kimakosa hata kusema hii ni story ya kutunga au ni mambo ya kijinga ya wabongo.

Inawezekana ni kweli una experiace sana pengine na mambo haya au maisha kwa ujumla,lakini ufahamu kwamba bado hujaona na kusikia yote. Ndio maana hapo chini nimeandika hiki ni kisa cha kweli.

Mimi kujua kabla ya muhusika hilo ni jambo la kawaida sana kwa mwanamke kushare maswala yake ya ndani kwa mwanamke mwingine aliye karibu nae kuliko hata kwa mpenzi au mume wake.(Inaweza ikawa sahihi au kwa mwingine ikawa kinyume chake)

Pengine hiyo avatar ya kiume imekuchanganya kidogo ukadhani mimi ni mwanaume hapana.

Pia unaposema kuwa wapo watu ambao ni mabikira mpaka level za masters na zaidi,ataposikia habari kama hii ni faraja kubwa kwake tatizo anafikiri yeye ndio mwanamke pekee duniani ambaye bado ni bikira katika umri huo.
 
sio kwamba ana bikra ila hajawahi kufanya ngono ila bikra kwa sasa haiwezi kukaa kwa umri huu kwanz wakati wakujisafisha anatunia kidole sasa bikra itapatikana wapi
 
si mbaya aacha ikatolewe na huyo mumewe

ila izingatiwe hicho si kigezo cha maisha bora ya ndoa

hongera zake kwa kuwa mtunzaji wa mwili wake
 
Kama hiyo ni kweli basi nimpe pongezi mwadada kwa kujitunza sana ni msafi huyo, kibailogia kufanya mapenzi kunatokea naturally, mambo mengine ya fassion yanatokana na uzoefu, wewe dada acha heshima yako aione mmeo, kuanzia hapo mtaanza kugundua stail tofautitofauti kutoka mitandaoni. Mambo ya clinic acha kabisa. You are star**************************************:a s 465:

I loved god because he loved me before i was conceived
 
Kama hiyo ni kweli basi nimpe pongezi mwadada kwa kujitunza sana ni msafi huyo, kibailogia kufanya mapenzi kunatokea naturally, mambo mengine ya fassion yanatokana na uzoefu, wewe dada acha heshima yako aione mmeo,
kuanzia hapo mtaanza kugundua stail
tofautitofauti kutoka mitandaoni. Mambo ya
clinic acha kabisa. You are
star***********************************
***:a s 465:



I loved god because he loved me before i was conceived

Ujumbe umefika.
 
kwanza nampongeza sana kwa kuwa mwaminifu,hakuna zawadi nzuri mwanamke anayoweza mpa mmewe siku wameona kama kumkuta bikira,hii inonyesha alimsubiri mmewe tu.faida ni kuwa ndoa nyingi zinaharibika kutokana na wengi kufanya tendo la ndoa na watu ambao hawaji kuolewa nao au haji kuwaoa,kila mtu ana maumbile tofauti na ufanyaji wa tendo la ndoa tofauti,wengi hutaka wenzi wao wafanyiwe kama walivyofanyiwa na mtu furani,mwishowe ni kutoka nje ya ndoa na vurugu nyingi au kupata magonjwa.kama hajafanya hawezi kusumbuka na hilo,atapata tu uzoefu wanapokuwa na mmewe kwani adamu na eva walianza vipi?
 
kwanza nampongeza sana kwa kuwa mwaminifu,hakuna zawadi nzuri mwanamke anayoweza mpa mmewe siku wameona kama kumkuta bikira,hii inonyesha alimsubiri mmewe tu.faida ni kuwa ndoa nyingi
zinaharibika kutokana na wengi kufanya
tendo la ndoa na watu ambao hawaji kuolewa
nao au haji kuwaoa,kila mtu ana maumbile
tofauti na ufanyaji wa tendo la ndoa
tofauti,wengi hutaka wenzi wao wafanyiwe
kama walivyofanyiwa na mtu
furani,mwishowe ni kutoka nje ya ndoa na
vurugu nyingi au kupata magonjwa.kama
hajafanya hawezi kusumbuka na hilo,atapata
tu uzoefu wanapokuwa na mmewe kwani
adamu na eva walianza vipi?

Da lakini hii ni kweli hivi Adam na Eve walianza vipi,maanake kulikuwa hakuna nishati ya umeme,hakuna maandishi,wala mwanadamu wa kumuuliza.
 
Hongera kwa kujitunza dada,usijaribu kuitoa bikra hiyo ila mpe mzee mwenyewe atoe,ILA ukiamua mwenyewe kuitoa nakushauri usiende hosp,we nitafute mimi nitakusaidia kuitoa then ndo uolewe.
:clap2:
 
Back
Top Bottom