bikira kweli au yakutengenezwa!!!?

kiuhalisia wa maisha yetu, msichana anapoolewa akiwa bikira inamfanya mumewe amheshimu zaidi na kumwamini. Katika maisha ya sasa ni vigumu sana kwa msichana kutunza ubikira wake kwa sababu bikira haionekani ni issue sana kama mwanzo.
 
hi.. inasemekana kuna bikira za kutengeneza kwa wakina dada kwa kutumia dawa na jinsi nyingine tofauti!! je utazibaini vp tofauti ya hizi bikira??? maana ninamashaka na niliyomkuta nayo mchumba wangu!! ya ukweli au ndio kaniuzisha chaka nitangaze ndoa fasta????? wajanja wa mujini nisaidieni jamani...

Ina maana haumwamini au kutokana na tabia yako ya uasherati ulijue na mwenzako ndo hivyo hivyo.
 
Mh ni kama gari mwenye new na used wana tofauti gani? unachotaka ni usafiri tu kwangu mie ni tabia na maumbie ndio ya na point
ni kama mwenye Mark X na Land Cruser zote ni gari mwenye mpya au used hahahaah kazi mnayo ( mashine ni mashine tu hili mradi ifanye kazi)
 
hi.. inasemekana kuna bikira za kutengeneza kwa wakina dada kwa kutumia dawa na jinsi nyingine tofauti!! je utazibaini vp tofauti ya hizi bikira??? maana ninamashaka na niliyomkuta nayo mchumba wangu!! ya ukweli au ndio kaniuzisha chaka nitangaze ndoa fasta????? wajanja wa mujini nisaidieni jamani...

sahau kitu bikra live.......kama unataka zipo za kichina njoo nikupeleke wanakozichonga uhakikishe. Yaani inarudi tight na lazima utoe tepe na damu zimwagike.

Uliza wataalam tutakuwambia njisi ya kuzitenganisha ile real na ile ya mchina in action - tc.
 
unaoa kwa kua ni bikra au kwakua umepanga kuoa na mnapendana?
vijana wa siku hizi bana

ha ha ha

bado ndiyo wanaanza kukua - eti nina mchumba bikra sasa nitajuaje kama real au ya kuchonga -- kazi kweli kweli
 
yalaaaaaaaaaa!!!!!!!! WEWE KUMBE HUJUI. SIKUHIZI UKIONA BINTI MKUBWA TU ZAIDI YA MIAKA 23 ALAFU ANAKWAMBIA BIKRA UJUE HUYO ANAMEGWA SANA TENASANA ILA HARUHUSU UMMEGE MBELE SASA ANGALIA BIKRA YA TIGO KAMA IPO... UMEUZIWA DHAHABU KWENYE CHUPA KAKA KUMBE NI MAKUFULI YA SHABA SIKUIZI WANATOA NYUMA ILI WASIHARIBU BIKRA.
 
Mimi mke wangu tumezaa naye watoto wawili lakini bado anabikira yake, ameitunza hadi leo.

Nimekusoma!
Nimekuelewa unamaanisha nini.
"Bikira" kwa sasa inamaanisha "faithfullness" kwa kiswahili "uaminifu".

Ngoja nimuulize swali:
Akishafungua mlango ambao hawezi kuufunga akitoka, baadaye atajua wangapi wameingia baada ya yeye kuufungua?

Au: Wote wasio na bikira inamaanisha si waaminifu? kama walichezewa then wakaachwa?
Na ya kwake ina alama inayoonesha amepita sehemu ngapi na za aina gani?

Aache utoto!
 
hi.. inasemekana kuna bikira za kutengeneza kwa wakina dada kwa kutumia dawa na jinsi nyingine tofauti!! je utazibaini vp tofauti ya hizi bikira??? maana ninamashaka na niliyomkuta nayo mchumba wangu!! ya ukweli au ndio kaniuzisha chaka nitangaze ndoa fasta????? wajanja wa mujini nisaidieni jamani...
Nami nilimsikia siku moja mkeo analalamika bikira yako ilikuwa feki
 
Acheni nyie! Bikira ina heshima yake .. mnapoanza maisha Ndoa
 
mwanamke! mwanaume hana bikira.. kama mwanaume ana K sawa!

Acha matusi wewe, unapaswa uwaone wataalam ili wakuambie nini maana ya bikira, bikira ni kwa me/ke na si kama unavyodhani, ndio maana kuna upotoshwaji humu oh nimekuta hana bikira wewe ulikuwa nayo????
 
wewe ndio hujui maana ya bikira! ... kama mwanaume ana ule utando wa ngozi na akifanya mapenzi mara ya kwanza ule utando wa ngozi unatoboka na kutua damu basi huyu mwanaume atakuwa bikira... na sijawahi kukutana na mwanaume wa aina hiyo hapa duniani.. mambo ya haki sawa msiyalete hadi kwenye maswala ya bikira mwanaume hawezi kuwa na bikira

[h=3]vir·gin/ˈvərjən/[/h]Noun: A person, typically a woman, who has never had sexual intercourse.

Adjective: Being, relating to, or appropriate for a virgin: "his virgin bride

http://www.merriam-webster.com/dictionary/virgin
 
Back
Top Bottom