Elections 2010 Biharamulo CHADEMA juu!!!!!!!

Status
Not open for further replies.

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,169
Napata taarifa hapa kupitia BBC, Biharamulo CHADEMA imepeta na funny enough mgombea wa CCM, Mukassa ndiye aliyetoa taarifa hii!!!!!!!!
 
Busanda wajameni vipi? wacha niendelee na sala kuzuia uchakachuaji
 
Nazidi kumuomba Mungu atupe lile li-grand prize---daktari wa ukweli.
 
Napata taarifa hapa kupitia BBC, Biharamulo CHADEMA imepeta na funny enough mGOMBEA WA ccm, Mukassa ndiyea liyetoa taarifa hii!!!!!!!!
hihihihihih SASA HUYU Mukasa atalipwa pensheni kama wabunge wengine waliokuwa madarakani miaka 5?? arudi Ifakara health inst
 
Busanda wajameni vipi? wacha niendelee na sala kuzuia uchakachuaji

Mchungaji endelea kukemea nguvu za giza zishindwe na kulegea!! mwaka huu nimefarijika sana na mwamko wa vijana katika uchaguzi huu...Mapambano yanaendeleaa
 
Yea man, na hii inadhihirisha hata ule uchaguzi mdogo uliopita CCM ilichakachua!
Asante Nyambala kwa taarifa hii, nilihudhuria chaguzi ndogo za Busanda na Biharamulo, nilichokiona kwenye kampeni na matokeo vilikuwa vitu viwili tofauti, niliwashangaa Wana Busanda na wana Bi'mulo mpaka kuwatusi kuhusu umasikini wao. Hatimaye sasa wamefanya walichotakiwa kufanya. Nasubiria hali ya Busanda.
 
Wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani hili ndo jimbo langu la nyumbani. Ndo upinzani huo ujue hata uchaguzi mdogo ulopita alishinda Mbassah dr wa ukweli!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom